Eti ghetto kwako umeweka sheria gani kwa wageni wako?

sifa ya geto ni kua halina sheria, machizi wakija wote wanajisikia wako nyumbani,. exile ni kitu cha kawaida japo unalipa kodi wewe.. likiwa na sheria hilo sio geto tena, ni chumba chako tu. ndo maana hua napingana na wadada wanaosema anaishi/ana ghetto lake..

"NAOMBA MSIFANANISHE GHETTO NA VYUMBA VYENU VYA KUISHI"..
 
Stanza
 
Ili liitwe geto lazma kuwe na movements zisizokwisha yaani huyu kaingia wawili wametoka mwingine Kalala, hakuna geto la mtu mmoja
geto akija demu wana wanaaga kila mtu na mtindo wake alaf badae wanauliza swali moja tu "UMEKULA TUNDA?"
geto ni ngumu sana kuskia nyimbo ya lulu diva au gigi mane
geto ni mahari ambapΓ³ kama hujachanga huli
Geto ni mahari ambapo cabinet ya kumtongoza demu na Vikao vyote mpaka tunda linaliwa hukaliwa no

.......
 
mstari wa mwisho balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni mimi kabisa


Anaeingia kwangu ni mdogo wangu na rafiki angu mmoja hivi wa kike. Walio baki tutakutana kaunta
Ndio inavyotakiwa kwa mtoto wa kike, sio kuingiza midume inapishana ghetto kila saa. Hata kama sio mhuni, watu watakujaji kuwa hujatulia.
 
Hamna neno sipendi kulitumia kama Gheto ....

Japo sina na sijawahi leta rafiki kwangu ila kama ikitokea...

huwa nasemaga hata iweje Kwangu silali na mgeni,never "siruhusu"...

wewe njoo jicheleweshe wee jivute vute wee ila hata ifke usiku wa sa 8 ntaita uber usepe...
 
Roho mbaya ulijifunzia wapi
 
bob ngoma gani hii!? au ni vina vyako.
 
Duuuuh mie huyu ghetto kwangu aingie mtu? Kwa lipi? Ili iweje? Akaaaah hicho kityu hakiwezekan kabisaa,

Tukutane huko nje kila m1 ashike road ya kwake lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…