Eti ghetto kwako umeweka sheria gani kwa wageni wako?

Kwa mademu anavua kiatu mlangoni kwa sababu naamini akishafanya ivyo tayari nimemaluza step ya kwanza kuelekea kumsaula vilivyobaki mwilini.

Washikaji waingie navyo maana anaweza kuvua kiatu nikakimbia gheto langu mwenyewe.
Masela huwa wanafagia ?
 
Haha
Kwanza kwangu hakuna sheria ya kugongea gheto
Pili ukifika marufuku kukalia kitanda changu
Tatu marufuku kuingia jikoni kwangu bila ya ruhsa yangu
Nne ukifika kaa lwa kutulia. Mambo ya kushika vitu na kurejesha mahala sipo sipendi
Hapo ushaondoa definition ya ghetto.
 
Nikiweka sound mziki mnene staki shobo kujifanya unapunguza sauti..! Vumilia tu.

Pia nikiwasha udi usiulize kifuatacho ni nini!
 
Back
Top Bottom