putinelimusu
Senior Member
- Aug 26, 2016
- 180
- 169
huyu naona anaongea tu hamjui aj ni nani arejee YouTube akajionee vitu vyakeMkuu unamjua AJ kweli??
huyu naona anaongea tu hamjui aj ni nani arejee YouTube akajionee vitu vyakeMkuu unamjua AJ kweli??
pia na kijana Joseph parker na izu wako vzrHuyu Antony Joshua ndio kanirudisha kuangalia ngumi ...nendeni YouTube mkaone balaa lake ....anapiga kama anaua ....
huyu jamaa ana mkono mzito sana na ana target Ila defensive yako sio nzuri sana wlad ana kazi kubwa sana hapa na umri wakeAJ ndio habari ya dunia kwasasa ....huyo hana ngumi za kupapasa ....anapiga kama anaua ....
Wladmir sio Vladmir'V'ladimir or Wladimir...ipi iko sahihi mkuu?
Unajua mkuu,boxing inategemea we una nguvu gani au una udhaifu gani.. Ukishaujua,ndo unajua upambane namna gani.huyu jamaa ana mkono mzito sana na ana target Ila defensive yako sio nzuri sana wlad ana kazi kubwa sana hapa na umri wake
Yote yana maana moja mkuu...tofauti ni nchi tu'V'ladimir or Wladimir...ipi iko sahihi mkuu?
lewis alipigana na vitali sio wladJamani jamani klitschko sio wa kubeza nakumbuka pambano lake na lewis zilikua znapigwa ngumi jiwe na jamaa ana punch mbaya sana pambano liliisha baada ya kupasuka juu ya jicho ila alikua keshamzidi points lewis aisee labda uzee ila kwa uhodari hyo mrusi sio wa kumchukulia poa kabisaa....advantage ya Aj ni kuwa bado kijana na yuko fast kdgo but he must watch out
sio pambano dogo hili broPambano linakuzwa sana hili na Skysports
Watakuwa wanapiga taarabu kama sio kuonyesha vijembe vya dereva wa lori.Ni matumain ngu kuwa TBC watarusha hili pambano la kukata na jambia.
Vitali ni kitu kama mbunge urusi huko ameacha ndondiHivi Vitali nae kaishia wapi
inategemea na unatumia lugha gani ...yote sahihi'V'ladimir or Wladimir...ipi iko sahihi mkuu?