Donald Trump atamshinda Kamala Haris kwa mbali sana Uchaguzi Mkuu Marekani

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
17,952
20,070
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.

Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.🐒

Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
 
Sanaa yani maana dunia kwa Sasa vita inataka mbabe hakuna kuremba yani sijui pole nikupulize utapona ni undava undava kama baba ubaya
 
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.

Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.🐒

Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Hujui siasa za huko, ww njoo ongelea hizi za huku za majizi ya kura.
 
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.

Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia tena wa kujifungia white house tu na asie na ushawishi wala uthubutu wa kuchangamana na wababe wengine wa kiuchumi duniani, nje na ndani ya white house.🐒

Soma pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Sawa mtabiri.......
 
Wamarekani wakinichanganya kumchagua yule bibi, watajuta kama Tanganyika tunavyojuta.
 
Sawa mtabiri.......
ni maoni na mtazamo wangu kulingana na hali halisi ya kuibuka kwa ubabe wa kitecholojia, kijeshi na kiuchumi, nadhani powerful Donald Trump will be re-elected for second term 🐒
 
Sera zake sio rafiki kwa deep state hasa millitary industrial complex

Let's wait n see
 
Kamala haris asubiri, agombee tena uchaguzi ujao. Marekani kwa sasa inahitaji rais mbabe, pale mashariki ya kati na kule ukraine/urusi kunanuka mnyukano. Anahitajika rais wa marekani mbabe kwenda kumaliza mnyukano huo
 
Hapana! Tanganyika tunateseka sana.
Akamtunze mume wake,KAZI hiyo inamtosha na inamfaa,na aliichagua mwenyewe
 
Sera zake sio rafiki kwa deep state hasa millitary industrial complex

Let's wait n see
deep state nao ni dhaifu sana lakini,
si huwa wanaskiza hata simu binafsi za Rais na makamu wake walau kujua uwezo wao wa kiakili,

waliwezaje kumuachia Joe Biden kugombea muhula wa pili hali ya kua hakua na mental stability ya uongozi tena?

kama hilo liliwashinda hao deep staste wanaweza kua wanajua sera mbovu na nzuri kweli kuhusu hiyo military industry complicity? 🐒
 
Back
Top Bottom