zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,197
- 31,025
Kwahiyo unaona sawa kina bulaya kufungiwa ilihali mbunge wa CCM aliyesababisha yote haya yupo nje anadunda????hivi we dada unajielewa kweliNdungai yupo sahihi, tena ingekuwa ni mimi ningeongeza adhabu kidogo..
kuwa upinzani haimaanishi usupport kila kitu hata kikiwa kibaya, kuwa upinzani haimaanishi uwe na fujo na ubabe etc
kama Mnyika angemsikiliza spika haya yote yasingetokea, ujuaji utawaponza upinzani