Dkt. Slaa adokeza kuwa amepata habari Deus Soka atauawa leo na kutupwa kwenye msitu

Raisi mpaka Leo hajaongea kitu kuhusu hili janga la utekaji na mauaji, inasikitisha sana na inaonyesha jinsi asivyosijali
 
Nchi imeoza hii afu una jifanya kukuza mdomo binafsi napenda maisha yangu siwezi taka kujitakia kifo cha ajabu
 
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
Wasiwasi wangu ni kuweka hizi Tetesi halafu zisiwe za kweli

Who will be held accountable?
 
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
Deus Soka ni nani?
Ana nini cha mno hadi wameamua kumliquidate?
 
Kama una taarifa zote hizi ulishindwaje kumpata au kumfuatilia au ?
EEEeeeenHeeEeeeeh!
Kwani ilikulazimu kweli kuweka komenti kama hiyo?
Wewe unaichukulia kuwa kama ni mzaha, au siyo?

"Ampate au amfuatilie" wapi sasa? Yeye ni polisi? Hivi polisi wapo kwa kazi gani hasa, kuteka watu?
 
Polisi wajishughulishe kumkamata Slaa, ila wasifanye lolote kuhusu hao watekaji?
Hii mantiki ni ya wapi?
Polisi imekana na inafanya Uchunguzi nyie mnasema ni wao Sasa itakuaje? Slaa anajua Aliko bila shaka akasaidie polosi
 
Polisi imekana na inafanya Uchunguzi nyie mnasema ni wao Sasa itakuaje? Slaa anajua Aliko bila shaka akasaidie polosi
Kwani huu utekaji umeanza leo, kwamba juhudi za polisi kufanya uchunguzi usitiliwe shaka?
Jitulizeni tu, lakini uhalifu hata siku moja hauwezi kuzuia mabadiliko.
 
Kwani huu utekaji umeanza leo, kwamba juhudi za polisi kufanya uchunguzi usitiliwe shaka?
Jitulizeni tu, lakini uhalifu hata siku moja hauwezi kuzuia mabadiliko.
Wanapambana na bila shaka watawafichua wahusika wote.
 
Back
Top Bottom