Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 92,804
- 112,490
Ndiyo ukweliAcha dharau aisee....heshimu taaluma za watu.
Ndiyo ukweliAcha dharau aisee....heshimu taaluma za watu.
Kama mfamasia Hawezi kuprescribe anatoaje dawa KWa mgonjwa direct KWa mgonjwa ,hoja zake hujajibu hata MOJA ,unazunguka mbuyu na kuludi paleInabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription
Hataki mfamasia atoe dawa kwa mgonjwa!! Si kwa kuwa mfamasia hawezi kutoa dawa kwa mujibu wa prescription (kwa dawa zinazohitaji prescription), eti kwa sababu mfamasia hayajui magonjwa!!
Mfamasia hahitaji ayajue magonjwa (japo anayajua kwa kiasi fulani) ili aweze kutoa dawa!! Siyo jukumu la mfamasia kujua magonjwa, maana hiyo ni kazi ya daktari!!
Kutokujua magonjwa hakumfanyi ashindwe majukumu yake ya msingi kwenye pharmacy!
Dr Koboko anataka Daktari ndiye atoe dawa pale pharmacy na hakuna sababu ya mgonjwa kwenda na cheti maana Daktari anayajua magonjwa!! Kwa hiyo Dr Koboko anataka kutumia pharmacy kama dispensary pia au clinic!!
Hawa ndio madaktari wetu halafu analisema hilo hadharani bila aibu!! Anauliza, je mgonjwa akienda pharmacy bila cheti cha Daktari huyo mfamasia atamsaidiaje? Kwake hiyo ni hoja yenye nguvu!! Jibu ni kwamba mgonjwa akienda pharmacy kutibiwa ataambiwa kuwa pharmacy sio hospitali!! Atashauriwa aende kwa hospitali kama hitaji lake linahitaji dawa zinazotolewa kwa prescription ya daktari.
Wafamasia wote wanajua hivyo, na kama mmoja akikiuka atashughulikiwa na bodi ya pharmacy kwa mujibu wa sheria!! Nanukuu mawazo ya Dr Koboko:
"✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa, kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwa hiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa.
Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kuwa mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?"
Unaona, Koboko hataki mfamasia atoe dawa moja kwa moja kwa mgonjwa wakati pale pharmacy ndiyo kazi ya mfamasia kutoa dawa kwa mgonjwa!! Kwa maneno mengine pharmacy au duka la dawa halihitaji kuwa na mfamasia! Eti atafanyaje kama mgonjwa ataenda pharmacy bila cheti cha daktari!! Jibu ni kuwa haitakiwi mgonjwa aende pharmacy bila cheti cha daktari kama dawa anayohitaji inatakiwa kuwa na prescriptrion!! Jibu siyo kuruhusu mgonjwa aende pharmacy bila cheti cha daktari kwa sababu eti atamkuta daktari hapo!!
PHARMACY SIYO MAHALI PA TIBA!! KWA HIYO DAKTARI HATAKIWI HAPO!! DAKTARI AKITAKA KUTIBU AENDE HOSPITALINI NA SIYO PHARMACY!! NA MGONJWA AKITAKA KUTIBIWA AENDE HOSPITALINI NA SIYO PHARMACY!!
Dr Koboko anataka ku-practice profession yake pharmacy!! Dr Koboko hajui mahali sahihi pa ku-practice!! ni maajabu!! Halafu anataka wafamasia watoke pharmacy waende viwandani!! na wawe mastoo keeper tu wa dawa!!
Ushauri kwa Dr. Koboko: Ukitaka kuunganisha kamba ya udaktari na ufamasia ili uongeze eneo la kula NENDA KASOMEE KOZI YA PHARMACY PIA MIAKA 4 + MWAKA 1 WA INTERN kisha nenda kafungue pharmacy na utibu kinyemela maana pharmacy siyo eneo muafaka la kufanyia tiba!
Nilimwelewa sana!! Hataki mfamasia atoe dawa moja kwa moja kwa mgonjwa pale pharmacy! Ati kwa sababu mfamasia hayajui magonjwa!! Nimemnukuu hapa:Sidhani kama ulimuelewa Prof Koboko
Si kazi ya mfamasia kuprescribe dawa wala pharmacy si mahali pa kuhitaji prescription!! Anayehitaji prescription aifuate kwa daktari hospitalini!! Ni makosa makubwa kwa mgonjwa kwenda pharmacy halafu ategemewe huko kupata prescription. Ni lazima jamii ielimishwe!! Tukiendekeza watu kufuata prescription pharmacy, hizi pharmacy zitageuzwa kinyemela kuwa dispensary!!Kama mfamasia Hawezi kuprescribe anatoaje dawa KWa mgonjwa direct KWa mgonjwa ,hoja zake hujajibu hata MOJA ,unazunguka mbuyu na kuludi pale
Nakupongeza kwa uelewa wa kutokwenda directly pharmacy kununua dawa bila kumwona daktari!! Ila kwa suala la cheti cha mfamasia kuwepo dukani huo ni uthibitisho kuwa hiyo pharmacy inahudumiwa na inasimamiwa na mtaalamu wa madawa hivyo kuhakikisha usalama wa huduma inayotolewa hapo!! Ni takwa la lisheria duniani kote, vinginevyo kila mtu atajifanya kufanya kazi hiyo na ni hatari sana kwa jamii. Huo siyo ulaji bali ni kazi muafaka inayostahili MALIPO!! Wanapata hayo malipo kihalali kwa kusimamia usalama wa dawa na wateja!Binafsi sipendi sana mgonjwa kwenda directly pharmacy kununua dawa bila kumuona daktari.kuna uholela mkubwa sana wa utoaji wa dawa na hatari zaidi ni kutrngeneza drug resistance,kidney and liver failure. Mimi nineenda Mara nyingi kununua dawa pharmacy .sijawahi ulizwa prescription.
Pili ,sijaona sababu za cheti cha mfalmacia kuwepo dukani .Ule ni ulembo tu na ulaji tu.haina maana kabisa.kwamba hicho cheti ni CCTV camera kumonita utoaji holela wa dawa bila prescription?
wafamasia ni nyoka wakubwa sana, wala rushwa na wezi wa madawa ya serikali. ninyi watu ninyi, kama kuna mtu huyu aja duka la dawa au pharmacy hahitaji kulijua hili. na pia wana bifu kubwa na madaktari hata sijui kwanini.Inabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription
Hataki mfamasia atoe dawa kwa mgonjwa!! Si kwa kuwa mfamasia hawezi kutoa dawa kwa mujibu wa prescription (kwa dawa zinazohitaji prescription), eti kwa sababu mfamasia hayajui magonjwa!!
Mfamasia hahitaji ayajue magonjwa (japo anayajua kwa kiasi fulani) ili aweze kutoa dawa!! Siyo jukumu la mfamasia kujua magonjwa, maana hiyo ni kazi ya daktari!!
Kutokujua magonjwa hakumfanyi ashindwe majukumu yake ya msingi kwenye pharmacy!
Dr Koboko anataka Daktari ndiye atoe dawa pale pharmacy na hakuna sababu ya mgonjwa kwenda na cheti maana Daktari anayajua magonjwa!! Kwa hiyo Dr Koboko anataka kutumia pharmacy kama dispensary pia au clinic!!
Hawa ndio madaktari wetu halafu analisema hilo hadharani bila aibu!! Anauliza, je mgonjwa akienda pharmacy bila cheti cha Daktari huyo mfamasia atamsaidiaje? Kwake hiyo ni hoja yenye nguvu!! Jibu ni kwamba mgonjwa akienda pharmacy kutibiwa ataambiwa kuwa pharmacy sio hospitali!! Atashauriwa aende kwa hospitali kama hitaji lake linahitaji dawa zinazotolewa kwa prescription ya daktari.
Wafamasia wote wanajua hivyo, na kama mmoja akikiuka atashughulikiwa na bodi ya pharmacy kwa mujibu wa sheria!! Nanukuu mawazo ya Dr Koboko:
"✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa, kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwa hiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa.
Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kuwa mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?"
Unaona, Koboko hataki mfamasia atoe dawa moja kwa moja kwa mgonjwa wakati pale pharmacy ndiyo kazi ya mfamasia kutoa dawa kwa mgonjwa!! Kwa maneno mengine pharmacy au duka la dawa halihitaji kuwa na mfamasia! Eti atafanyaje kama mgonjwa ataenda pharmacy bila cheti cha daktari!! Jibu ni kuwa haitakiwi mgonjwa aende pharmacy bila cheti cha daktari kama dawa anayohitaji inatakiwa kuwa na prescriptrion!! Jibu siyo kuruhusu mgonjwa aende pharmacy bila cheti cha daktari kwa sababu eti atamkuta daktari hapo!!
PHARMACY SIYO MAHALI PA TIBA!! KWA HIYO DAKTARI HATAKIWI HAPO!! DAKTARI AKITAKA KUTIBU AENDE HOSPITALINI NA SIYO PHARMACY!! NA MGONJWA AKITAKA KUTIBIWA AENDE HOSPITALINI NA SIYO PHARMACY!!
Dr Koboko anataka ku-practice profession yake pharmacy!! Dr Koboko hajui mahali sahihi pa ku-practice!! ni maajabu!! Halafu anataka wafamasia watoke pharmacy waende viwandani!! na wawe mastoo keeper tu wa dawa!!
Ushauri kwa Dr. Koboko: Ukitaka kuunganisha kamba ya udaktari na ufamasia ili uongeze eneo la kula NENDA KASOMEE KOZI YA PHARMACY PIA MIAKA 4 + MWAKA 1 WA INTERN kisha nenda kafungue pharmacy na utibu kinyemela maana pharmacy siyo eneo muafaka la kufanyia tiba!
Ni sawa kabisa kama refari ni wa mitaani asiyejua sheria ya mchezo!!!Dakika ya 89'
Prof Koboko 3-0 Mbingunikwetu
wafamasia ni nyoka wakubwa sana, wala rushwa na wezi wa madawa ya serikali. ninyi watu ninyi, kama kuna mtu huyu aja duka la dawa au pharmacy hahitaji kulijua hili. na pia wana bifu kubwa na madaktari hata sijui kwanini.
Kisheria kuprescribe ni kazi ya daktari na sio mfamasia na kazi ya kutoa dawa kwa mgonjwa ni pharmacist. Kutoa dawa kwa mgonjwa ni ishu pana na haishii kwenye 2×3 tu.Kama mfamasia Hawezi kuprescribe anatoaje dawa KWa mgonjwa direct KWa mgonjwa ,hoja zake hujajibu hata MOJA ,unazunguka mbuyu na kuludi pale
Nimetembea mikoa mingi, nishafanya biashara ya pharmacy mikoa kadhaa, wote wanafanana. Ni kama polisi, popote utakapoenda Tanzania, polisi wote wanafanana. Ni kama watoto wa baba mmoja, si mwanaume si mwanamke. Usije kuwaamini hata kama ni watoto wako. Mwanao akiwa polisi, usimwamini sana tena. Ndio maana watoto wangu hawatakuja kuwa polisi, kamwe. Bora awe mwanajeshi.Hawa wafamasia wasiofuata sheria jamii iwashitaki panapohusika. Kosa la mfamasia mmoja au baadhi ya wafamasia lisichukuliwe kuwa ni kosa la taaluma yote ya pharmacy!! Anayekiuka au aliye mwizi wa dawa za serikali ashughulikiwe kivyake!!
Kwani nani hapa anaweza kusema madaktari wote hawachukuagi rushwa? Kati ya sehemu zinazosumbua kwa rushwa ni pamoja na hospitalini, polisi na mahakamani!!
Anayekiuka ashughulikiwe bila kupepesa macho na siyo kulaumu taaluma yote!!
kwa hayo uliyoandika, kazi ya doctor ni nini sasa? na kuna umuhimu gani kwenda na cheti cha doctor eneo la kuchukulia dawa? daktari ameshafanya kila kitu na kuelekeza apewe dawa hii na hii, kwa mfamasia unaenda na kikaratasi, anaangalia, hata muda kuongea au kukuuliza unaumwa nini, tangu lini n.k, yeye ni kuchukua dawa, kuandika matumizi na kukupatia. kitu pekee anachoongea na wewe ni, " dawa hizi tumia hivi mara hivi...n.k" nothing more. kama tungekuwa tunaenda kuelezea matatizo yetu kwa mfamasia kusingeuwa na umuhimu wa kwenda kwa daktari. msituchanganye.Kisheria kuprescribe ni kazi ya daktari na sio mfamasia na kazi ya kutoa dawa kwa mgonjwa ni pharmacist. Kutoa dawa kwa mgonjwa ni ishu pana na haishii kwenye 2×3 tu.
Pharmacist lazima ajue habari ya mgonjwa A TO Z ili aweze kudispense hiyo dawa iliyoandikwa, lazima a- review vitu vingi kama medical history,medication history,drug alergies n.k ili abaini contraindications, polypharmacy, incorrect indication,drug interactions, compliance na mambo mengine ambayo yatafanya afanye maamuzi ya mwisho kama ni kumpa dawa kama ilivyoandikwa au awasiliane na daktari ili kubadilisha dawa, kupunguza dawa, dose adjustment, kuongeza dawa n.k.
Kinachofanya wafamasia hapa wapingane na maboko ni vile ambavyo yeye kama profesa hajui mipaka ya kazi yake. Pia hajui ni kwanini program ya ADDO ilianzishwa na kwanini wafamasia wanapinga. sidhani hata kama anajua ni dawa gani hasa zinaruhusiwa kwenye ADDO na zipi ni prescription only na zipi hazihitaji cheti. Angejua wala hata asingeng'ngania maana ni dawa chache sana zinaruhusiwa kwenye ADDO
Watanzania wengi hawajui majukumu ya pharmacist na ndio maana hata wewe umeuliza swali ambalo linaonyesha ni jinsi gani hujui kitu kuhusu pharmacy. Nadhani kwa haya machache umepata mwanga, Google upate mwanga zaidi.
Ni vile tu watu wanarahisisha kazi lakini principles of pharmaceutical care hutakiwi kudispense dawa bila kujua inatumika kwa ajili ya nini. Kuna muda madaktari wanakosea kuandika dawa kwa kujisahau tu na wakati mwingine ni kwa kuwa hawana ujuzi mkubwa wa dawa na mtu wa kusahihisha ni mfamasia. Unaposema daktari kamaliza kila kitu unakua unakosea, pharmacy ndio sehemu ya mwisho kabisa mgonjwa anapitia kabla ya kuondoka na kama mfamasia hatakua competent kugundua shida yoyote basi mgonjwa ataondoka nayo.kwa hayo uliyoandika, kazi ya doctor ni nini sasa? na kuna umuhimu gani kwenda na cheti cha doctor eneo la kuchukulia dawa? daktari ameshafanya kila kitu na kuelekeza apewe dawa hii na hii, kwa mfamasia unaenda na kikaratasi, anaangalia, hata muda kuongea au kukuuliza unaumwa nini, tangu lini n.k, yeye ni kuchukua dawa, kuandika matumizi na kukupatia. kitu pekee anachoongea na wewe ni, " dawa hizi tumia hivi mara hivi...n.k" nothing more. kama tungekuwa tunaenda kuelezea matatizo yetu kwa mfamasia kusingeuwa na umuhimu wa kwenda kwa daktari. msituchanganye.
Soma hii job description utapata kitu.Naungana na Dr.
Kama Dr ndiye anayekuandikia dawa gani itakufaa, basi kwenda kwa pharmasist ni ukilitimba na kupoteza muda au kutumia vibaya rasilimali.
Yaani m pharmasia yuko hapo kusubiri Dr aandike mpe mgonjwa dawa hizi? Kwanini asimpe moja kwa moja?
Waende viwandani wazalishe dawa. Ova
Sikia usipende underestimate watu kisa upo apo bila kujua jf ni kisima kilichojaa wabobezi wa Mambo mengiKisheria kuprescribe ni kazi ya daktari na sio mfamasia na kazi ya kutoa dawa kwa mgonjwa ni pharmacist. Kutoa dawa kwa mgonjwa ni ishu pana na haishii kwenye 2×3 tu.