Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

Kwenye suala la afya ya binadamu lazima tuseme tu ni team work ndo inafanya kazi hata wata wa nursing wanasoma pharmacology kwa level yao pia hakuna mtu special ndo maaana kuna hospital kuanzia chini mpaka ngazi ya taifa, boresheni na kutatua changamoto zilizopo, Je dawa tu ndo zinaleta shida kwa watanzaia vip kuhusu nyanja nyingine kwenye kada ya afya???
 
Back
Top Bottom