Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,923
- 21,404
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.
Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.
-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.
Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.
========
Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.