Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,280
Hapa inabidi niwe kabanga kwa muda
"Inasikitisha"
"Inasikitisha"
Nitanunua kitabu chake nione anatufundisha nini kuhusu malezi ya watoto
jamii forum ni zaidi ya GoogleMnamfahamu Ncha Kali?! Huyo ndiye Baba Zion, na ndiye kama chanzo cha kung'olewa kwa Dinna ktk kipindi.
Kama mnakumbuka wakati Zamaradi anakwenda kujifungua, kipindi chake cha Take One kilikuwa kikiendeshwa na Ncha Kali.
Ncha Kali alipoanza kukiendesha aliamua kukibadili kabisa na kukitoa kwenye mipasho na umbeya na kukifanya kwa weledi.
Alikuwa vipengele vya kufundisha utengenezaji wa filamu na mambo mengine, na hata mahojiano yake na wasanii yalikuwa yakihusu zaidi filamu na sio maisha binafsi.
Watu wengi wa pale Clouds waliipenda zaidi Take One ya mshikaji kuliko Zamaradi na kukawa na mawazo aendelee nacho hata Zamaradi akirudi.
Sasa baada ya Zamaradi kurudi ndio ikawa mshikemshike kwani, kwa kuwa mzazi mwenzie ni bosi pale akawa anatumia nguvu hiyo kurudi ktk kipindi chake.
Na kwa bahati mbaya ugomvi ukafanywa kama wa familia kwa kuingizwa Dina ndani yake.
Lakini Ncha Kali alipoona mambo yamekuwa hivyo akaona bora aachie tu, na ndio maana hata baadhi ya mambo yaliyokuwa endelevu ktk Take One nchini ya Ncha Kali yalikatizwa ghafla.
Lakini hata hivyo, uhasama ukaendelea chini kwa chini kwa kuchuniana, sasa ilipotokea Dina naye kwenda kujifungua ndo ikawa kama kulipa kisasi.
Zamaradi akaendesha kampeni kuwa kipindi kilikaa vizuri bila Dinna na kushirikiana na wapambe wawili watatu wakamtoa.
Uongozi wa juu ukatumia lugha nzuri kuwa, wanataka kuanzisha Leo Tena ya Clouds TV kwa hiyo Dinna akafanye hicho kwa sababu ana uzoefu na Leo Tena.
Kwa hiyo alipoona mizengwe inazidi akaamua kukaa pembeni. Hiki ndicho nilichosikia kuhusu issue hiyo.
Ova
Nani tena mtaje tu mana hakuna namna!Hizi ndiyo Idea za maana,
Sio idea za kujaza miguo tumboni kusingizia mimba.
Big up Dinna.
Tuthamini kusoma watanzania wenzangu. Kwa jarida hiyo ni bei nzuri labda kama contents zitakuwa zero brain. Maana majarida mengine ni zaid ya elf kumi na tanoMagazine shs 5000/=? Du. Kingekuwa kitabu sawa. Lakini kama nia ni kutoa magazine, hiyo bei kubwa.