Una sababu zako wewe.sasa huyo mtoto mbona hajachana nywele?
Mkuu, isome kwa makini hakujikuta yupo Efm ila baada ya kuanzisha Magazine then ndo alijiunga na hicho kituo cha redio.Sijaelewa tu pale alipo sema eti....
Alijikuta yupo Efm....
Hivi nshomile ni nini?Kwani aliwahi kutoka na nshomile ruge?
hiyo ni a.k.a ya wahayaHivi nshomile ni nini?
Nshomile ni msomi kwa kihaya, ila sijui kama nimepatia.Hivi nshomile ni nini?