barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Usiwe mwepesi sana kutoa majibu kwa maswali rahisi sana!
Either way, I have nothing to lose!! Hivyo haina tatizo! Natumai anahitaji kupajua sababu hapajui ndo maana nimemjibu!
Usiwe mwepesi sana kutoa majibu kwa maswali rahisi sana!
Panda magari ya mbagala hadi rangitatu shuka tafuta gari za mbande fika hadi mwisho kabisa panda magari ya msongola huko barabara mbovu ukifika mwisho kabisa panda bodaboda Mwambie akupeleke diamond
Hapo utakuta uwanja
piga namba 112 waelekeze na uwaambie unavuta bangi hapo watakuja jamaa wa magwanda usikimbie watakuchukua utaenda kufanya interview
The hell will be with you
Mwacheni aulize interview ya TRA sio mchezo,kakomae bana ila ukipata na kazi uje kutuambia pia!tutaonana ijumaa pale!
Iangalie kwenye Google Map hapo chini.
Ipo Upanga mtaa wa Malik, inakabiliana na Makao Makuu ya Jeshi na pia ipo nyuma ya Shule ya Sekondari ya Shaaban Robert.
Kituo cha basi cha karibu ni Palm Beach kwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi kama sikosei.
https://maps.google.com/maps?hl=en&...Z9oGYBg&ved=0CBQQtQMwAA&output=classic&dg=brw
na pia ipo nyuma ya Shule ya Sekondari ya Shaaban Robert.
Ilipo siwezi kupaita nyuma ya SRSS. Ni ubavuni mwa SRSS.
It's been a minute son.
Ule mtaa wa shule ya Shaaban an Robert ni mtaa gani ule?
Wewe mleta uzi usipokuwa makini utafanya vibaya interview yako,Diamond ipo karibu Muhimbli pr school,Tumain Hospitari,Ubarozi wa DRC Congo,Mzizima sec school,Ngome jeshi Jwtz makao makuu,Muhimbili hosp...uliza sehemu zote hapo juu utapelekwa...wish you good interview.
Shule ya Mzizima haipo karibu na Diamond Jubilee. Iliyo karibu yake ni SRSS.
Halafu hii kitu ungeuliza kwny habari mchanganyiko.....