Diamond Jubilee Hall ipo sehemu gani kwa Dar es Salaam nimeitwa Interview

Diamond Jubilee Hall iko Barabara ya Malik, Upanga, Dar es Salaam (wilaya ya Ilala). Iko mkabala na Makao Makuu ya Jeshi (MMJ).
 
Katika dunia ya leo huwazi kwenda eneo usilolijuwa kwa 100% kwa kimtegemea teksi draiva. At least uwe na crew na eneo uendalo.

By the hiyo komenti yako na wewe ulitaka tujuwe kwamba umesoma...??

Unamaana ya crew ya ITV au?
 
Diamond Jubilee kwa hapa Daresalaam ipo Mbezi mwisho mkono wa kushoto njia kama unaelekea Kinyerezi kwa juu kidogo.
 
Diamond Jubilee kwa hapa Daresalaam ipo Mbezi mwisho mkono wa kushoto njia kama unaelekea Kinyerezi kwa juu kidogo.

Najiuliza kama wewe na wenzako mnaompotosha jamaa kama MNA akili sawasawa
 
Najiuliza kama wewe na wenzako mnaompotosha jamaa kama MNA akili sawasawa

Akili sawasawa ziko kariakoo Mafia/Nyamwezi street, panda gari za Mbezi ukifika Upanga mwambie konda akushushe, utatembea kwa mguu kidoogo na kijikuta ushazifikia Akili SAWASAWA!!
teh teh teh!!
 
Akili sawasawa ziko kariakoo Mafia/Nyamwezi street, panda gari za Mbezi ukifika Upanga mwambie konda akushushe, utatembea kwa mguu kidoogo na kijikuta ushazifikia Akili SAWASAWA!!
teh teh teh!!

Dalili za ushoga hizo mtoto wa kiume
 
huu uzi umenipa nafasi ya kuwajua watu vizuri, na kupitia huu uzi kuna watu as from today nimewadharau sana
 
huu uzi umenipa nafasi ya kuwajua watu vizuri, na kupitia huu uzi kuna watu as from today nimewadharau sana

Panda magari Tegeta shuka kimara, nyoosha moja kwa moja mpaka Ubungo usikate kona!
Ukifika hapo uliza Azam football club sports stadium, yaani ni kwa nyuma tu utakuwa umefika!!
Teh teh teh!
 
Panda magari Tegeta shuka kimara, nyoosha moja kwa moja mpaka Ubungo usikate kona!
Ukifika hapo uliza Azam football club sports stadium, yaani ni kwa nyuma tu utakuwa umefika!!
Teh teh teh!

ndo nini hii mkuu
 
Mkuu kwa mtu uliyeenda shule sio kila kitu unauliza humu. Kwani kabla ya kuanzisha mitandao ya jamii watu walikuwa hawaendi kwenye venue za interview? Kwani ukiwa sehemu yoyote Dar ukamwambia dereva teksi akupeleke Diamond Jubilee atashindwa?

Sio Kila Mtu Anauwezo Wa Tax.
 
Najiuliza kama wewe na wenzako mnaompotosha jamaa kama MNA akili sawasawa
Sawa vitu vingne miznguo acha wajibiwe ivyo,vitu vidgo tu vyakujiongeza mwenyewe mpk ulize jf hawa ndo hata home wife kasahau kuweka chumvi anakimbilia kuuliza umu unadhan atajibiwaje mtu km huyo??
 
panda gari la g. mboto kupitia mbagara alafu shukia msasani,hapo ulizia askari monument ilipo then panda la posta..Umefk
 
Ukitaka kuwajua "WASHAMBA" NA "WAPUMBAVU" soma majibu ya upotoshaji hapo juu nadhani wamekuja mjini macho yakiwa na matongotongo...

kwa mnaenda usaili huko kila la heri tafuteni post yangu hapo juu nimeelekeza namna ya kufika kwa mitaa yote ya Dar es salaam
 
Back
Top Bottom