sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,647
- 5,785
Alipofikia huyu bwana, anatakiwa azibitiwe na Serikali moja kwa moja, naona basata wanamuogopa. Sipendi kunadili haya mambo yao ila naona ni too much. Sina chuki na maendeleo yake ila..
Anaimba mambo yasio na maadali na kuhamasisha mapenzi kingume na maumbile wazi wazi.
Diamond ni mfano mbaya wa kuigwa kwa jamii, huu wimbo wake mpya unaonikumbusha mauthui ya rafiki yake Zuchu hadi akafungiwa Zanzibar.