Diamond adhibitiwe anapotoa nyimbo zisizo na maadili, tukilinde kizazi chetu

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,647
5,785
Alipofikia huyu bwana, anatakiwa azibitiwe na Serikali moja kwa moja, naona basata wanamuogopa. Sipendi kunadili haya mambo yao ila naona ni too much. Sina chuki na maendeleo yake ila..

Anaimba mambo yasio na maadali na kuhamasisha mapenzi kingume na maumbile wazi wazi.

Diamond ni mfano mbaya wa kuigwa kwa jamii, huu wimbo wake mpya unaonikumbusha mauthui ya rafiki yake Zuchu hadi akafungiwa Zanzibar.

Upo sahihi sana na naamini Mama yetu kipenzi anaona na anaskia. Atalifanyia kazi. Tanzania imekua na Amani kwa mda mrefu sababu ya maadili ambao watu wakisasa wanaona ndio UHURU.
 
Alipofikia huyu bwana, anatakiwa azibitiwe na serikali moja kwa moja, naona basata wanamuogopa. Sipendi kunadili haya mambo yao ila naona ni too much. Sina chuki na maendeleo yake ila..

Anaimba mambo yasio na maadali na kuhamasisha mapenzi kingume na maumbile wazi wazi.

Diamond ni mfano mbaya wa kuigwa kwa jamii, huu wimbo wake mpya unaonikumbusha mauthui ya rafiki yake Zuchu hadi akafungiwa Zanzibar.

View attachment 3311024
Sijajua alipoonesha alama ya "Jicho" na tobo kwenye vidole ana manisha nini?
 
Back
Top Bottom