Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

Umekurupuka kucomment suluhisho alishalitoa tangu wiki hii yote ianze!
Kujitoa kwanza MIGA
Ukimsikiliza Lisu kwa makini ni kwamba anapingana na huo ushauri wake. anachokiongea leo ni wazi ana ngozi ya kinyonga subirini awapeleke hadi kwenye edge na mtajikuta wote mmepoteza muda.

Dhana ya Baniani Mbaya kwenu haipo na kilichobaki ni kutafuta msema chochote kuwa shujaa wa debate
 
wewe ndio mpuuzi, umedata mke wako anatoka na jirani yako wakati mwenyewe ndio umemruhusu jamaa ako atoke na mkeo.

ccm acheni unafiki, tulipokua tunapiga kelele na kina Dr slaa mlikua mnatufukuza bungeni ili mpitishe uchafu huu ambao Leo mnajifanya kuushangaa wakati mliuungiza wenyewe ndani.
 
Kweli kk wewe msanii mwizi anajulikana aliyemkaribisha jambazi mtaani kwetu anajulikana na hukumu za kimtaani huwa tunachoma nyumba ili huyo mtu asiendelee kutuletea majambazi zaidi lkn tunajitoa ufahamu kwa kumlaumu aliyekuwa akisema kila siku jamani huyu ndio ttz la kuleta wezi na kuturudisha nyuma kimaendeleo eti hafai alihusikaje na uletaji wezi huyo mtu ?
 
 
Mlaumu Magufuli kwa kusema Ndiyoooo mswaada wa sheria ya madini upite bila kupingwa kipindi akiwa mbunge
 
Kweli kk wewe msanii mwizi anajulikana aliyemkaribisha jambazi mtaani kwetu anajulikana na hukumu za kimtaani huwa tunachoma nyumba ili huyo mtu asiendelee kutuletea majambazi z.....
Utamaduni wa kujitwalia sheria mikononi najua mmefundishwa na huyo Lisu wenu ndo maana hata mdomo wake yanayotoka hayawaunganishi Watanzania kutetea maslahi zao.

Kama alitaka haya yafanyike ya kuchukua hatua. la hata kabla kamati ya pili haijatoa majibu yeye tayari ameshakuwa na majibu ya kuwaambia Watanzania. Yeye ni nani? Ana akili kuliko wote?

Nyerere aliwahi kusema kuwa INAWEZEKANA MTU AKASOMA SANA BADALA YA KUELIMIKA AKAISHIA KUWA MPUMBAVU zaidi..... nayaona leo.
 
Mlaumu Magufuli kwa kusema Ndiyoooo mswaada wa sheria ya madini upite bila kupingwa kipindi akiwa mbunge
Onyesha Hansard za Bunge wapi alikuwepo katika kupitisha hii mikataba mnayoitetea leo.

Kumbe ile kupinga mikataba mlikuwa mnatengeneza motion ili ipitishwe?
 
Huwezi kuona lissu ana lengo gani na maneno yake yana mantiki kiasi gani kama tayari umeshamezeshwa chochote anachofanya jpm kiko sawa!
Hayo unayoyosema leo mbona hukumuunga mkono enzi anapigana peke yake kwenye migodi huko?
Au ulikua hujazaliwa?
 
Kwahiyo ww unashauri nn kifanyike?
 
Kwa sasa hoja yoyote ya kumpinga Magufuli itakuwa ngumu sana kusikilizwa.
Kwa sababu upinzani wenyewe ndo uliwalisha watu sumu hii kwa Tabia yao mbaya ya kupinga mambo ya maana.
Kwa sasa hata wakiwa na hoja za msingi bado wataonekana vituko tu.
 
Kama wewe una uwezo wa kumruhusu mkeo alale na jirani yako basi unahitaji dr. MziziMkavu akusaidie both kisaikolojia na nguvu za kiume.

Hata mimi nilikuwa napiga kelele kuhusu hii mikataba mibovu. Leo hatua zinaanza kuchukuliwa kwa nini nisiunge mkono?

Au mna lenu jambo nyie?

Jibu kuhusu Golden Fleet
 
Huwezi kuona lissu ana lengo gani na maneno yake yana mantiki kiasi gani kama tayari umeshamezeshwa chochote anachofanya jpm kiko sawa!
Hayo unayoyosema leo mbona hukumuunga mkono enzi anapigana peke yake kwenye migodi huko?
Au ulikua hujazaliwa?
Nilimuunga mkono na nilisimama kutetea maslahi ya nchi...
Huwezi ukawajua askari wote wanaopigana vitani kama haupo kwenye uwanja wa mapambano...

Nimeishi kwa kuhuzunika kwa miaka mingi, leo naona mapambazuko ya furaha kisha nyie mnakuja kuweka gunia?
 
Huwezi kuona lissu ana lengo gani na maneno yake yana mantiki kiasi gani kama tayari umeshamezeshwa chochote anachofanya jpm kiko sawa!
Hayo unayoyosema leo mbona hukumuunga mkono enzi anapigana peke yake kwenye migodi huko?
Au ulikua hujazaliwa?
Huwezi kuona JPM analengo gani Jema kama tayari ushamezeshwa sumu kuwa yeye ni mkurupukaji na dikteta.
 
Kw
Kwa hiyo tuache waendelee kuiba kwa sababu hakupinga akiwa waziri? Na je mlilipigia kelele ili iweje au mpate mgao!! Swali ni je kwa nini lisu ameumizwa sana kuliko acacia mwenyewe?
 
Mimi nina wazo tofauti.Nchi yetu imebarikiwa kuwa na wataalamu lukuki wenye weledi wa hali ya juu katika sheria.Jambo baya sana ni kuwa kwa miaka mingi wataalamu hawa waliosomeshwa kwa kodi za wavuja jasho wamekuwa si msaada kwa Nchi na watu waliowasomesha.Mikataba isiyo na tija kwa taifa na watu wake imeasainiwa wao wakiwa wasimamizi ama wakishindwa kutumia weledi wao kutoa ushauri makini.TL ni mtu tofauti,anasema wazi anachoona kina walakini,anatoa ushauri ambao watawala hawapendi kuusikia.Anatoa tahadhari pale kwenye shari!!!Anaongea bila dhihaka ili tusijekuta tumeamsha madude badala ya kutatua tatizo!!

Nyakati kama hizi "contadiction" ni muhimu kwa afya ya nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…