Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 24,515
- 34,592
- Thread starter
- #41
Ukimsikiliza Lisu kwa makini ni kwamba anapingana na huo ushauri wake. anachokiongea leo ni wazi ana ngozi ya kinyonga subirini awapeleke hadi kwenye edge na mtajikuta wote mmepoteza muda.Umekurupuka kucomment suluhisho alishalitoa tangu wiki hii yote ianze!
Kujitoa kwanza MIGA
Dhana ya Baniani Mbaya kwenu haipo na kilichobaki ni kutafuta msema chochote kuwa shujaa wa debate