Dhana ya Kutofumua Makaburi

Inawezekana muheshimiwa raisi alikuwa na maana nyingine ya makaburi na sivyo kama alivyopokelewa na baadhi ya watu wenye mtazamo hasi juu yake na uongozi wale.......

NB; Kama alimaanisha hivyo alivyoongea basi laana za watanzania waliodhurumiwa rasilimali zao na hao watu waliopo makabulini zimfikie......
 
Makaburi ni lile genge lilotoka ccm na kulifukua maana yake kulipokea -kuliombea kaburi tafasiri yake kuwaacha kuwapokea
 
Makaburi ni lile genge lilotoka ccm na kulifukua maana yake kulipokea -kuliombea kaburi tafasiri yake kuwaacha kuwapokea

Maana yake "Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na yajayo" Na naiona hii ni katika mambo ya wakati wa campain ndani ya chama chake.
 
  • Watanzania tumeweka viwango vya chini mno cha kupima uongozi bora.Hii ndio silaha ya Magafuli.Ukweli ni kwamba Dhana ya utumbuaji majipu ni danganya toto.Watatumbliwa wachache kimzuka ..wajanja wapate,wajinga washangilie.
Mkuu, una maana wajanja WAPETE ....ie waendelee kula bata - kwa raha zao, haha!
 
mafisadi ndani ya ccm yashaanza mzidi akili?

Hapana, ukiiangalia kwa makini hii imekaa katika mantiki ya ndani ya CCM zaidi kwa yale yaliyotokea wakati wa campain ndani ya chama chake kuelekea uchaguzi mkuu October 2015. Haina uhusiano na mafisadi. Si unajua kipindi hicho huwa kuna makundi, na huwa kuna kujeruhiana kwa hapa na pale.
 
Humfahamu Magufuli wewe. Kwa sasa amelazimika kuwa mpole na mnyenyekevu. Subiri akabidhiwe rungu ndani ya chama. Kwa sasa anajua kuwa hana mamlaka ndani ya chama. Akikabidhiwa mtaona muziki wake
Ni kweli kabisa simfahamu na wala sitaki kusema uongo. Lakini sasa hata akikabidhiwa rungu can't do anything kwa kuwa kasema makaburi yasifumuliwe.
 
Kama siyo ushabiki, basi kauli hiyo umeielewa ndivyo sivyo. JPM alikuwa anawaeleza wana CCM wenzake kuwa waache kufitiniana kwa kigezo cha kusalitiana wakati wa uchaguzi. Kwamba hatabagua mwana CCM yeyote (wakati wa kuteua) kwa kigezo cha kuwa mhusika aliwasaliti wakati wa uchaguzi. hiyo ndiyo dhana ya rais ya kutofukua Makaburi. Tusipotoshe.
Mtoa post hakumuelewa raisi au la sivyo anataka kuupotosha uma! ndani ya ccm wapo waliokuwa wanapeleka taarifa za chama kweny vyama vingine , na hao JPM wengine aliwataja hadharani kama kule mwanza, kwamba wanapanga mambo yao usiku wanafiki wanayapeleka mchana kwa upinzani.kwahiyo hajaongelea majipu!
 
Mkuu umesha wasahau UKAWA? Wao kazi yao ni kubadilisha maneno ili wapate agenda ya kuzungumza! Kama wameweza kubadili gia angani, watashindwaje kubadilisha maneno ya JPM ili wapate tu sababu ya kukosoa!
 
Mtoa post hakumuelewa raisi au la sivyo anataka kuupotosha uma! ndani ya ccm wapo waliokuwa wanapeleka taarifa za chama kweny vyama vingine , na hao JPM wengine aliwataja hadharani kama kule mwanza, kwamba wanapanga mambo yao usiku wanafiki wanayapeleka mchana kwa upinzani.kwahiyo hajaongelea majipu!
Kwa hiyo kuvujisha Siri za Chama sio JIPU? Wewe unafikiri mtu asipokuwa honest kwenye Chama Tawala kinachoweka Sera na miongozo yote ya nchi sio hatari?
 
Back
Top Bottom