Deus Kibamba : Rais hapaswi kupingwa

Duh Mkuu umenitukana bure ndg yangu.... Rudia usome tena comment yangu kwa ukaribu......


Yaàni nilichoandika ndio kinyume chake maana waimbabpambio wanataka tuimbe pambio za sifa na utukufu nisipoimba uchochezi. Soma tena nilichoandika
Nsameeeehe mkuu unajua hwa watu washanikela sana mwaka wa pili sn kazi kat nlisoma ualimu nkijua kuajiliwa kawaida ila sasa...nsamehe sana mkuu
 
Duh, kweli tuna safari ndefu. Wasomi wanaposhangilia udikteta sijui tunaponaje. Urais uwe taasis au mtu, tumeshaupa nguvu nyingi sana, sasa hata kuhoji pia hawataki. Hatuwezi kuendelea tukiwa tunaabudu watu.
 
Yaani kuna watu akili zao haziko vizuri. Binadamu akienenda visivyo lazima akosolewe cheo hakibadilishi mtu, mtu atabaki kuwa mtu. Nj Mungu pekee ndo hakosolewi. Wengine wote wanakosolewa maana nao mi binadamu ili usiende kinyume na jamii ilivyo.
 
huyu ni muhadhiri ???nimeangalia may be dr au prof may atateuliwa na mkuu kumbe ni........ok jipendekeze zaid mhadhiri wetu may be atakuona
Kuna watu hawajielewi ghorofani. Ndo mana kuna mtu alisema mvi sio dalili ya hekima ila ni dalili ya umri mkubwa
 
Dkibamba hana jipya zaidi ya kujipendekeza kwa Rais ili apate cheo apunguze vimeo na kuongeza michepuko hii ndiyo style mpya wameanza wanabuni wanabuni vijineno vya kumsifu Mkulu ili awape vyeo na Ubalozi ni njaa zinawasumbua tu moyoni hawana upendo wowote ule.
 
Kwanza anaidhalilisha Taaluma yake.
Pili atuambie Kazi ya Upinzani.
Tatu njaa ni mbaya sana aisee jamani.


Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
 
Angekuwa alipwi mamilioni kwa kutumia kodi zetu asingepingwa.

Angekua anunuliwi nguo,kulishwa,kulindwa kwa kutumia kodi zetu asingepingwa.

Tumemuajiri,akikosea atapingwa na kuambiwa ukweli kama hataki aache.
 
Kwanza anaidhalilisha Taaluma yake.
Pili atuambie Kazi ya Upinzani.
Tatu njaa ni mbaya sana aisee jamani.
Naunga mkono hoja kwa 100% na kama hako kajamaa ka-kibamba kanaingia JF nadhani katazimia leo na kujutia kwenda clouds kusaka huruma apewe cheo.
 
Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Wanaompinga nao wanachemka
 
Rais ni mkubwa kuliko katiba?Kama muongozo ni katiba,basi Rais atapingwa tu tena hadharani.
Pesa za kununua ndege,kujenga Airport ya chato na ambazo anapewa lipumba anajichotea Hazina bila bajeti kupitisha Dodoma,katiba haifuatwa sasa mambo yanakwenda kiholela cha ajabu Kibamba kajitoa fahamu kaenda clouds kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom