Deus Kibamba : Rais hapaswi kupingwa

Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .

Kwani kuna nafasi nyingine imebaki ya ubunge wa kuteuliwa?
 
huko ni USA. Shida ya bongo vijana wanafosi harakati kwa kuburuzwa. wanafuata upepo tu.

things do not get directed accordingly.
Matapishi kabisa unayoandika humu .,na kakingereza kako ka kutoka kayumba basi wajiona unaakili kinomaa...ila nyie watu muda utafika tu tutaheshimiana maana utakuwa kabla hujafanya kitu lazima ujiulize kwanza athari zake...
muda utaongea tuuu....
 
yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa

Hapana sema vizuri, inapaswa kuogopwa. Maana kuambiwa ukweli sio kukosewa heshima. Wekeni wazi hiyo taasisi inapaswa kuogopwa watu wajue moja.
 
Kule Marekani pamoja na Donald Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani lakini maelfu ya Wamarekani wanafanya maandamano kumpinga Rais Trump. Kitu kizuri kabisa ni kwamba Polisi wanawapa ulinzi hao waandamanaji kuonesha hisia zao.

Eti Kibamba anasema hapa kwetu huruhusiwi hata kusema Rais hadharani kama una mtazamo hasi. Halafu huyu Kibamba eti ni mwanasheria.

Jamani kweli hizi nafasi za kuteuliwa zinatutoa UFAHAMU. Na hizi nafasi ndiyo shetani mkubwa kwa wasomi wetu. As far as nafasi hizi zitaendelea kuwa mikononi mwa mtu mmoja. Wasomi wa Tanzania wataendelea kufikiri kwa kutumia MATUMBO yao badala ya kufikiri kwa kutumia VICHWA vyao. Poor Tanzanians!
 
Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Huyo yesu isemekanavyo alisulubiwa ijekua maguful kukosolewa ww muhadhir wawapi ww?
 
Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Cheney maslahi....Mahojiano TV gani? CLOUDS...Mhadhiri......next... Uteuzi. Ni Deus Kibamba yule mwanaharakati au mwingine. Apambane zaidi kitaeleweka
 
Huyo matako naye anataka afikiliwe katika teuzi za mkulu anayeteua kila amsifiaye bila kujali weled wake wakufanya kazi..anateua tu kama vile anachambua karanga...
 
Mbwa huyo hana lolote..marangap yeye alimpinga kikwete..mijitu mingne bwana au linahis tumesahau..acha kujipendekeza..kbamba nahis keshachanganyikiwa anavyooona teuzi znampita pemben.askosee yey nanlivyonawaswas na elimu ya hyo mkulu bas nawew yawezekana ndo walewale wakufog vyeti
 
Wameshamnunua maccm ndiyo sababu anaanza kutoa kauli za kipuuzi. Tusishangae kusikia kauli akidai katiba mpya hivi sasa si kipaumbele cha nchi.

Deus ninayemjua kipindi cha mchakato wa Katiba mpya na Jukwaa la katiba atakuwa ameshazeeka...
 
Huyu yuko sahihi rais ni zaidi ya malaika.....sitaki kukufuru Mungu niepushe na hili
Mbwa wewe ushakufuru.rais malaika wap imeandikwa..mijitu mingne kama hailuzaliwa kwa uchungu..mtajipendekeza had lin?muda mwingne nataman yote yanayosifia upuuzi wa hyo mtu siku ayaambie yainame s mnasema hapingwi ndo mtajuta sk hy mbwa nyie
 
Kama haya ndio anayoyafundisha huko chuoni Basi wanafunzi wake ni wa kuwahurumia sana
 
Back
Top Bottom