David Kafulila: Deni la TZS97T ni stahimilivu kwa Vipindi vyote

Tusijisifie kwa kukopa.
Tunakopa sana lakini pesa zinaliwa na watu wachache.
Hii ni kutokana na ripoti za CAG za kila mwaka.
Naumia sana.
Basi tu sina uwezo.
 
Kama katiba mpya itazuia wizi wa Mali za umma, mimi naunga mkono mabadiliko ya katiba.
Lakini pia,
kwa vile uchaguzi unaghubikwa na rushwa, ni bora tukapata katiba itakayozuia hii rushwa katika uchaguzi.
 
Mikopo ingekua na maana sana kama kusingekua na wapigaji wanaosomwa na wasio somwa na CAG kila mwaka na kuishia kuitwa stupid badala ya kuozea jela, huyo tumbili akae kwa kutulia tuu hakuna asiejua kama ni chawa anatetea ugali
 
Anateteeaje ugali?
 
Back
Top Bottom