DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

Hii ni dhahiri kuwa huu mradi hauna siku nyingi unaenda kufa kutokana na huduma zake mbovu na uhaba wa magari.
Tangu maximalipo watoke, mradi umerudi analog kwa kutoa tickets kama za daladala. Zile mashine za kuscan tickets zimebakia kwa watumiaji wa card
Pia wameshindwa kutoa card za kutosha kwa wateja wao jambo ambalo linaleta msongamano kwenye vituo vikubwa kama Kimara terminal na gerezani terminal.
Nadhan watumiaji wa usafiri huu mtaniunga mkono. Kutokana na hali mlioiona jana na leo kwenye vituo tajwa apo.
Poa. Upo kwenye transition maana maxcom walivyotoa sasa TTCL ndo watasimamia.
Mradi hauwezi kufa kiboya kama unavyofikiri wewe na wakati kuna gari zaidi ya 70 zitaanza kazi soon.
Tanzania kitu kikislow kidogo tu kelele.
Jiulize toka umeanza kuishi graph yako inaenda tu linearnly?
 
inasikitisha sana kuona watu wetu wasomi na wataalamu wakiangalia mradi huu ukifa kwa kwel inaumiza sana.Mradi huu unaelekea ukingoni kwa sababu zifuatazo:

1.Huduma ni mbovu sana hasa kwa wakatisha ticket na wale watendaji wengine vituoni

2.Upatikanaji wa ticket ni changamoto mnoo

3.Uhaba wa Mabasi (Mabasi yanapungua kila siku)

4.Mabasi yanapakia abiria wengi kuliko uwezo wa miundombinu hii itapelekea uharibifu wa barabara
 
Kwa kweli huu mwendo kasi umekuwa kero sana. Mtu unafika kituoni na giza lakini unajikuta kunapambazuka bado hujapata usafiri. Kwa maoni yangu serikali irudishe yale mabasi ya kawaida ili kuwe na ushindani.
Agent maximalipo
 
inasikitisha sana kuona watu wetu wasomi na wataalamu wakiangalia mradi huu ukifa kwa kwel inaumiza sana.Mradi huu unaelekea ukingoni kwa sababu zifuatazo:

1.Huduma ni mbovu sana hasa kwa wakatisha ticket na wale watendaji wengine vituoni

2.Upatikanaji wa ticket ni changamoto mnoo

3.Uhaba wa Mabasi (Mabasi yanapungua kila siku)

4.Mabasi yanapakia abiria wengi kuliko uwezo wa miundombinu hii itapelekea uharibifu wa barabara
Maximalipo fans
 
Mradi Unaendeshwa kisiasa zaidi huu. Haiwezekani miaka yote mnajua Jangwani ni sehemu ya mkondo wa Maji tena kwa kulijua hilo mkaenda kuwafukuza wananchi lakini nyie na vichwa vyenu makini mkaenda kujenga hapo hapo. Nashindwa kuelewa thinking ya wanasiasa sometimes.
 
Makonda badala ya kushughulikia haya yupo bussy na tezi dume.. mambo ya umma bia ukali hayaendi hata siku moja.. watu badala ya kuangalia hudumu gani za kutoa na ubora wake wao wanaangalia ulaji.. ngoja tuone vikizidi tutakinukisha kwa sababu hakuna binadamu mjinga.
 
Poa. Upo kwenye transition maana maxcom walivyotoa sasa TTCL ndo watasimamia.
Mradi hauwezi kufa kiboya kama unavyofikiri wewe na wakati kuna gari zaidi ya 70 zitaanza kazi soon.
Tanzania kitu kikislow kidogo tu kelele.
Jiulize toka umeanza kuishi graph yako inaenda tu linearnly?
Mkuu hizo gari 70 ni mpyaa auu zilikuwepo zikawa hazifanyi kazi? Ishu nyingine ni hapo kwenye TTCL, labda kama sijui ila ni biashara gani Ttcl wamefanya auu kusimamia ikawapiku wapinzani wake sokoni?
 
Gari ni mpya zimeongezwa kuboost mahitaji halisi. Kilichokuwa kinaendelea ni kuziingiza kwwnye mfumo wa eticketing na routing ndo mvua zikaanza. Tegemea soon kuziona
 
Hii ni dhahiri kuwa huu mradi hauna siku nyingi unaenda kufa kutokana na huduma zake mbovu na uhaba wa magari.
Tangu maximalipo watoke, mradi umerudi analog kwa kutoa tickets kama za daladala. Zile mashine za kuscan tickets zimebakia kwa watumiaji wa card
Pia wameshindwa kutoa card za kutosha kwa wateja wao jambo ambalo linaleta msongamano kwenye vituo vikubwa kama Kimara terminal na gerezani terminal.
Nadhan watumiaji wa usafiri huu mtaniunga mkono. Kutokana na hali mlioiona jana na leo kwenye vituo tajwa apo.
Leo watu wameambiwa wapite bila kununua tiketi wala kuscan kadi kulikuwa hamna tiketi
 
Poa. Upo kwenye transition maana maxcom walivyotoa sasa TTCL ndo watasimamia.
Mradi hauwezi kufa kiboya kama unavyofikiri wewe na wakati kuna gari zaidi ya 70 zitaanza kazi soon.
Tanzania kitu kikislow kidogo tu kelele.
Jiulize toka umeanza kuishi graph yako inaenda tu linearnly?
Kama hii ndo transition period bac yajayo hayafurahishi.
Yan tume translate kutoka kwenye card za kielectronic tunakuja kukata tickets kwenye madaftari.
 
Yote aliyoanzisha na kusimamia huyu mwizi na yafe tu! Natamani hata li SGR lao lije lititie! Mabombadia yapotelee baharini au yakagonge mlima Kilimanjaro!
Nadhani wewe huna akili na naka unazo basi hazikutoshi na kama zinatosha basi unatumia ubongo wa masikioni. Huwa sipendi kuchangia ila wewe umeniudhi aisee ila sidhani kama wewe ni mtanzania.
 
Kama hii ndo transition period bac yajayo hayafurahishi.
Yan tume translate kutoka kwenye card za kielectronic tunakuja kukata tickets kwenye madaftari.
Transition ni mpito ili huduma isisimame. Unaweza hata ukakata ticket mlangoni kabisa kama daladala tena wakati wa kushuka

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Kero tunayoipata watu wa Kimara Mungu anajua sasa hivi hatuna tofauti na gunia la viazi au cabbage na carot tunavyolundikwa kwenye hayo mabasi.......... yaani ni kero isiyokuwa na maelezo nawaambia.

Maonevu yasiovumilika wajaribu kuruhusu basi za kawaida kama wataona mtu kwenye huo mwendokero wao
Walishajieleza kwamba ttcl wanaandaa kadi ambazo zitasaidia kurahisisha ila kwa kipindi hiki cha mpito watu wawe wavumilivu kidogo.
 
Back
Top Bottom