Darasa la kupigilia pamba kijanja

blue suit.jpg
casual.jpg
download.jpg
green.jpg
mix.jpg
power.jpg
 
Mimi kuna bank hizi za waalimu nilikutana na jamaa kavaa suti (three pieces)ina rangi ya njano ka maua ya alizeti,jamaa alikuwa comfortable kinoma,akiamini kaja kutushika,nilimshangaa na sitomsahau maishani kwa uvaaji mbovu kama ule.
Kwani suti inapaswa iwe rangi ipi?
 
Kwa hiyo kumbe ishu ni bei? Ina maana hata kama haviendani kama ni vya bei ghali ni sawa tu?
Kwenye mavazi kupendeza siyo BEI unaweza nunua cha bei poa na ukapendeza tu.....binafsi sivai SAA ya plastic nikiwa nimepiga suti au nimechomekea

Kwenye fasheni kila mtu ana uamuzi wake sababu hakuna formula bali kuna hints tu..kila MTU anaweza kubuni chake
 
Mimi kuna bank hizi za waalimu nilikutana na jamaa kavaa suti (three pieces)ina rangi ya njano ka maua ya alizeti,jamaa alikuwa comfortable kinoma,akiamini kaja kutushika,nilimshangaa na sitomsahau maishani kwa uvaaji mbovu kama ule.
Mbavu zangu.....
 
Kwenye mavazi kupendeza siyo BEI unaweza nunua cha bei poa na ukapendeza tu.....binafsi sivai SAA ya plastic nikiwa nimepiga suti au nimechomekea

Kwenye fasheni kila mtu ana uamuzi wake sababu hakuna formula bali kuna hints tu..kila MTU anaweza kubuni chake
Kwa hiyo huwezi kusema kuna kukosea basi. Hata mtu akiamua kuvaa rangi rangi si ndiyo ubunifu wake ama? Ujue fasheni unayoona kituko leo, kesho ndio inakuwa kali. Kama ulivyosema hakuna fomula wala sababu ya kumcheka mtu kwa uchaguzi aliofanya.
 
Neno 1 tafsiri mbalimbali....Hatuwezi kuelewana
 
Back
Top Bottom