Darasa la kupigilia pamba kijanja

hiyo kitu ni suruali ya jeans ambayo ni nyembamba miguuni kiasi kwamba ukivaa na raba aina ya all star inaibana kisawasawa huku chuga huwa tunaichomokeaga kwenye travolta au ukiivaa na raba yoyote hiyo raba unaikaza mpaka inyanyuke kwa mbele...
Hahaaaa...cha Arusha
 
Mimi kuna bank hizi za waalimu nilikutana na jamaa kavaa suti (three pieces)ina rangi ya njano ka maua ya alizeti,jamaa alikuwa comfortable kinoma,akiamini kaja kutushika,nilimshangaa na sitomsahau maishani kwa uvaaji mbovu kama ule.
 
Back
Top Bottom