Jamii ambayo unazaliwa unakuta binadamu analala na kuku, bata, mbuzi, ng’ombe chumba kimoja hapo kupata watu bright ni kazi hata kiongozi akitokea huko hawezi kua na ubunifu,
Upo sahihi unakuta kiongozi anachukia waliofanikiwa bila sababu...
 
Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.

Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite


View attachment 2465081
Hii nchi watu wengi wanatumia vichwa vyao kufugia nywele, na sababu kichwa kimebeba macho, mdomo na pia basi kuona, kula na kupumua.

Kamwe hawatumii vichwa hivyo kufikiri. Watu wengi sababu ya uvivu au udumavu wa fikra basi wamewaacha watu wengine walio wachache wafikirie kwa niaba yao.

Ni nchi ambayo tunaishi ili tuishi tu, na sio kuishi ili kutengeneza mazingira mazuri zaidi ya kuishi kwa walioko sasa na wa baadae. Mfano hapa ni wale wanaoenda shule ili wakue na sio wapate maarifa.
 
Hiyo nembo mmeiona ipoje kiasi mshuku kuwa siku ni nyingi za kufanya kazi hiyo?
Japan ilitokea sinkhole barabarani ila walijenga kwa siku mbili tu na baada ya wiki barabara ikawa inapitika na ilivunja record

Hiyo nembo hata iwe kubwa kama daraja lenyewe ndio iwe siku hizo rubbish
Screenshot_20230101_090129_Google.jpg
 
Hiyo nembo hata iwe kubwa kama daraja lenyewe ndio iwe siku hizo rubbish
Ni kweli kimtazamo Japan na Tanzania ni nchi huru zenye hadhi sawa mbele ya mkutano wa UNGA( United Nations General Assembly), lakini nchi hizi ni tofauti sana kiteknolojia na kiuchumi.

Kwa hiyo, objectivity kwenye hili haikwepeki. Asante.
 
Ni kweli kimtazamo Japan na Tanzania ni nchi huru zenye hadhi sawa mbele ya mkutano wa UNGA( United Nations General Assembly), lakini nchi hizi ni tofauti sana kiteknolojia na kiuchumi.

Kwa hiyo, objectivity kwenye hili haikwepeki. Asante.
Ni kweli mkuu wanatuzidi hata kiakili pia ila tujitahidi sana na kuongeza bidii

Nakumbuka kuna wakati Magufuli alikuwa anawakosoa Benki kuu na kusema kuna PhD holders 16 ila ni hakuna kitu

Haya huwa yananipa ukakasi pia kwa wataalamu wetu
Acha tujikune tunapofika Boss
 
Na hawa ndio wasomi wetu, imagine wale wengine watakua na hali gani kwenye maamuzi ya shughuli zao za kila siku
 
Uvivu uvivu uvivu. sasa nawaza aliekua anaandika hii taarifa kwamba watalifunga kwa siku saba alikua anawaza nini? Yeye alituonaje wananchi? Anatufikiria vp?

Hii nchi tuna watu wajinga sana, yaan kuweka nembo ni siku 7? serius?
 
Wangekuwa wanafunga usiku ili wafanye shughuli zao bila shida bila kuathiri uchumi kwa watu kushindwa kutumia barabara kurahisisha mtililiko wa shughuli zao za kila siku
 
Back
Top Bottom