Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,764
Kuwa yanaangushwa kwa style ya kupigwa mabomu, mabomu hayo hupangwa kwenye nguzo za chini na kisha yote hulipiliwa kwa wakati mmoja. (ie hukatwa mtama) Matokeo ya hapo ni kuwa jengo hushuka likiwa vertical na madhar yake yakiwa madogo.waangalie wao wasijekuwa ndio wanataka kusababisha maafa,ilitakiwa kwanza waangalie kampuni hiyo ya kubomoa ina vifaa vya kuhimili hiyo kazi sio nyundo na tindo,ingetafuttwa nchi zilizoendelea wana technologia stahiki