Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,248
- 7,022
This rail is almost never talked about yet it has never stopped operating...
This is 100 km of rail from Lake.Magadi to Nairobi - Its used to transport Magadi Soda Ash from the lake and eventually to Mombasa
Kuna behewa moja la abiria liliongezwa kwa treni ya mizigo iwe inaweza kubeba watu kati ya Magadi-Nairobi
Reli hio ya MGR ilifanyiwa ukarabati na sehemu zilizokua zimeharibika kung'olewa, hadi sehemu zengine zimewekwa concrete sleepers
Kuna watalii kadhaa ambao hutumia hii treni kwenda na kurudi - kuzuru Lake Magadi amayo iko na vivutio kadhaa