Nikafikiri unamuomba Baba Jesca.Baba yetu Uliye mbinguni, utusamehe sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu, Amen
hivi ukimchukia mtu lazima usemendio maana wewe ni kipara kipya
Kwani ushasahau kuwa Jiwe alishajitangaza hadharani kuwa yeye ni kichaa??Hele kiasi hicho inapopotea kwenye wizara mhimu kama hiyo, usiposikitika utakuwa hujui ni kipi cha kuisikitikia nchi yako unayoipenda.
Na hasa ukiwaza kuhusu sababu yenyewe inayosababisha msaada huo usitolewe, unabaki tu unajiuliza kama kweli tunajua tunayoyatenda kwa manufaa ya nchi yetu.
Hivi hata muda wa kukaa kwa utulivu na ku'reflect' juu ya maamuzi yao na matokeo yake viongozi wetu wanautumia kweli ipasavyo, au wao hawana muda huo kabisa?
Katika jambo kama hili, nalo tutakaa chini na kulihesabu na kujitapa kuwa tumefanikiwa/nchi yetu imefanikiwa?
Hahaaaaaa uachege hii tabia ya kuwa bambo nimecheka kinyamaaaa.Wamegoma kutoa pesa wanataka kulazimisha wazazi na watoto wao waende shule pamoja
Kwani huko shule wanaosoma ni wenye mimba tu? Watusaidie kufungua shule za wenye mimba na wazazi..yaani wawajengee na majengo ya kunyonyesha..waAlipie na mayaya watakaowaangalia watoto wakati mama zao wapo class..bila kusahau bajeti ya lactogen pindi wazazi wapo class..yaani uache kuwaadabisha watoto wako wawe na misingi imara kisa jirani hapendi..anataka uwaache tu hivyo hivyo.
We ndo umeula wa boya sababu akili zako ni za lawama lawama tu.Kulalamika mitandaoni masaa 24, Tanzania inasonga na mabaya mnayoombea yatokee awamu hii hayatokei,na bado mpaka 2025 mtaongea hadi kichina.Hakika kwa utawala wa huyu Jiwe bila kuleta unafiki, hakika tumeula wa boya!
Ndugu tuna maadili yetu..hii ni nchi huru..unaweza ukadhania mimba tu ila vipi maambukizi ya ukimwi..?maana ni kama umeruhusu..vipi ile sheria ya 30 years ya kumpa mimba dent..itakuwa na maana tena??Aiisee, ngoja niku'quote' bila kupenda kwa mchango wako huu ambao sijui kama kweli ulinuia watoe msaada kama huo unaopendekeza wewe!
Hivi walipotishia kuondoa msaada huo,na kuomba majadiliano nasi; badala ya wizara kutoa matamko waliyotoa hadharani ya kujigamba na kuwaambia waondoe msaada; na badala yake tungewaomba kuweka mfumo wa kuwasaidia hao wazazi kwa njia mbali mbali ili waweze kumudu kuendelea na shule, hiyo ingekuwaje?
Naelewa sana wapenda majibu ya mkato hapa watasema huko kutakuwa ni njia ya kuchochea mimba ziwe nyingi mashuleni.
Mimi nasema sio lazima iwe hivyo. Ni utaratibu tu unaowezekana kutimizwa kama nia ipo.
Mkuu achana na hawa wanashabikia kila kitu cha mzungu,wala hawapigi hesabu za mbali, ukiruhusu wenye watoto kurudi shule wanaobeba mimba wataongezeka maana wanajua ruksa kuendelea na masomo na Kama yupo form 1 analipiwa na serikali ada ela ya pampas na kulea atapewa na nani?,siasa zinasababisha watu wengi wawe mataahira.Ndugu tuna maadili yetu..hii ni nchi huru..unaweza ukadhania mimba tu ila vipi maambukizi ya ukimwi..?maana ni kama umeruhusu..vipi ile sheria ya 30 years ya kumpa mimba dent..itakuwa na maana tena??
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Kila sehemu wanatia siasa..wazae watoto zao wakawaweke stand wapigwe mimba na wapiga debe kisha wawarudishe nyumbani walee mimba kama wana hamu ya wajukuu.Mkuu achana na hawa Wapumbavu wanashabikia kila kitu cha mzungu,wala hawapigi hesabu za mbali, ukiruhusu wenye watoto kurudi shule wanaobeba mimba wataongezeka maana wanajua ruksa kuendelea na masomo na Kama yupo form 1 analipiwa na serikali ada ela ya pampas na kulea atapewa na nani?,siasa zinasababisha watu wengi wawe mataahira.
Wakati wale wanaiweka kwenye ilani yao ya uchaguzi 2015/2020 ili watoto wanaopata mimba mashuleni waweze kurejeshwa darasani mbona hamkutoa povu namna hii walamba nyao za watawala nyieMkuu achana na hawa Wapumbavu wanashabikia kila kitu cha mzungu,wala hawapigi hesabu za mbali, ukiruhusu wenye watoto kurudi shule wanaobeba mimba wataongezeka maana wanajua ruksa kuendelea na masomo na Kama yupo form 1 analipiwa na serikali ada ela ya pampas na kulea atapewa na nani?,siasa zinasababisha watu wengi wawe mataahira.
Kila sehemu wanatia siasa..wazae watoto zao wakawaweke stand wapigwe mimba na wapiga debe kisha wawarudishe nyumbani walee mimba kama wana hamu ya wajukuu.
Mnajiona kama wajanja sana kumbe hamna kitu mnachojua juu ya misaada hii ya elimu.Mkuu achana na hawa Wapumbavu wanashabikia kila kitu cha mzungu,wala hawapigi hesabu za mbali, ukiruhusu wenye watoto kurudi shule wanaobeba mimba wataongezeka maana wanajua ruksa kuendelea na masomo na Kama yupo form 1 analipiwa na serikali ada ela ya pampas na kulea atapewa na nani?,siasa zinasababisha watu wengi wawe mataahira.
Cha kunyoandio maana wewe ni kipara kipya
Madini yenyewe mnategemea wao ndiyo wanunue otherwise mtayafanyia nini? Utalii hali kadhalika mnategemea wao waje na hizo $ zao hao simba,faru,twiga na wengineo hawana faida. Hao wazungu(mabepari) bado wanahitajika tu whether you like it or not.Hakuna kuwanyenyekea tuna madini na utaliii tutajimudu