Club ya vijana wenye tabia njema

Kama wewe
1. Unamuamini Mungu
2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki
3. Huna imani za kichawi na kishirikina
4. Sio mlevi wa pombe au sigara
5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako
6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako
7. Huna husda wala majungu
8. Unajitahidi kujielimisha na kufahamu mambo mbalimbali
9. Unaheshimu wengine na tofauti zao

Basi we sio mshamba, you are an ideal person .

Kwa pamoja tupige vijana wahuni kama wazifu, walevi, wachepukaji, washirikina, waizi na wala rushwa, wenye kiburi na jeuri n.k
Hizi zimenigomea kabisa
4,5,
 
hii ni kwa mujibu wako, dhambi na mengine yanayohesabika ni mabaya yanakuwa mabaya kulingana na mtazamo wako, kama dhamiri haikuhukumu na ukifanyacho hakuna ubaya.
Tukisema hivi tutajikuta hakuna dhambi maana kuna watu hata wakiua dhamiri haiwahukumu, actually hicho kinachoitwa dhamiri na kuwahukumu wengi siyo kitu natural bali ni hofu tu ya kutengenezwa baada ya kuenda kinyume na maandiko au mila zilizotungwa, kila mtu akijua ukweli kwamba dini zote na maandiko yote ni uongo basi wataanza kutenda dhambi bila hofu na dhamiri hazitawahukumu tena
 
Kama wewe
1. Unamuamini Mungu
2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki
3. Huna imani za kichawi na kishirikina
4. Sio mlevi wa pombe au sigara
5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako
6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako
7. Huna husda wala majungu
8. Unajitahidi kujielimisha na kufahamu mambo mbalimbali
9. Unaheshimu wengine na tofauti zao

Basi we sio mshamba, you are an ideal person .

Kwa pamoja tupige vijana wahuni kama wazifu, walevi, wachepukaji, washirikina, waizi na wala rushwa, wenye kiburi na jeuri n.k
Ticked every number except 5.
 
Mimi sio muumini wa 1 na 3...siamini katika Mungu Wala uchawi ila namlipa mtu kulingana na atakacho nifanyia...ukija ukanifanyia wema I will never disappoint you.

Ukinifanyia ubaya I will do it to you 100 times...nitahakikisha unajutia ulicho nifanyia...!​
 
We bwan unaningwa
 
Back
Top Bottom