sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,641
- 5,758
Kama wewe
1. Unamuamini Mungu
2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki
3. Huna imani za kichawi na kishirikina
4. Sio mlevi wa pombe au sigara
5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako
6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako
7. Huna husda wala majungu
8. Unajitahidi kujielimisha na kufahamu mambo mbalimbali
9. Unaheshimu wengine na tofauti zao
Basi we sio mshamba, you are an ideal person .
Kwa pamoja tupige vijana wahuni kama wazifu, walevi, wachepukaji, washirikina, waizi na wala rushwa, wenye kiburi na jeuri n.k