bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,529
- 20,999
Kifupi ni kwamba hakuna anae enda huko sio Simba wala Yanga sababu option iliyo baki ni kuchukua ubingwa wa CAF kwa vigezo vya rankings mlima ni mrefuSio kweli kuwa Al Ahly na Wydad wapo hapo kwasababu ya kuchukua makombe katika hiyo misimu minne.
Ni kwasababu ya rank zao katika kukusanya point kitu ambacho hata aliyefika fainali mfululizo wa misimu minne pia kuna point anakusanya ambazo zingemfanya awepo hapo
Nakupa mfano
Al Aly katika hiyo misimu minne angekuwa anaishia fainali tu na Simba ndio angekuwa anachukua yeye misimu yote hiyo minne ina maana Al Ahly asingekuwa ame qualify kushiriki michuano ya World Cup kwasababu katika hiyo misimu hakubeba ubingwa?