changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,047
- 10,152
Bado hajafuzu kwasababu bado mashindano ya klabu bingwa hayajatamatika japo kwasasa ndiye anayeongoza kwa kuwa na point nyingi.Mamelod nae ameshafuzu.
Bado hajafuzu kwasababu bado mashindano ya klabu bingwa hayajatamatika japo kwasasa ndiye anayeongoza kwa kuwa na point nyingi.Mamelod nae ameshafuzu.
We ndio hujasoma nilichokiandikaWe jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukua kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuoano?? Una akili timamu wewe???
Kwanza imekuaje nyie hapo kwenye list ya 12 hampo?Kwahiyo wewe umeona Yanga kuchukua ubingwa umeona haliwezekani, ila Simba kufikisha point kuizidi point za Mamelod au Es Tunis kwa gap ya point 30+ ukaona linawezekana? Yaani usimba na Uyanga unakutoa uwezo wa kufikiria kabisa.
Mamelod na ES Tunis hawajapishana Sana pointKumbe inapofikia swala la Simba na Yanga akili zinakutoka kiasi kwamba hata jambo lililowazi haulielewi. Hiyo iliyowekwa hapo sio kwamba ndio lazima itakuwa hivyo ilivyowekwa bali kutakuwa kuna mabadiliko kulingana na timu zitakavyo perform kwenye CAFCL. Kama tukitumia kwa dhana iliyowekwa hapo inamaana inatafutwa timu moja tu ambaye ni bingwa mpya wa CAF champions league kwasababu tayari kuna nafasi tatu ambayo ni Wydad, Al Ahly na Mamelod ambaye ndiye anayesimama upande wa kuwa juu kwenye upande wa rank.
Je unaweza kuniorodheshea timu zinazowania ubingwa wa CAF champions league msimu huu au hujui kama moja ya tiketi ya kushiriki hiyo michuano ni kubeba ubingwa wa CAFCL?
Timu 4 kutoka AfrikaAfrica inatoa timu ngapi? Na jumla ya vilabu vitakavyoshiriki michuano ni vingapi? Hilo litakuwa kombe la Ulaya
Kwa hiyo unataka kusemaje, kuwa taarifa sio sahihi?Ulisoma vigezo vyote ukavielewa?
Kuna nafasi nne, nafasi tatu zitachukuliwa na timu mabingwa ambapo Al Ahly na Wydad tayari wamefuzu bado nafasi moja ya bingwa wa msimu huu.
Timu zote 16 ambazo zinacheza hatua ya makundi kwasasa zote zinawania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2025.
Kisha kutakuwa na nafasi moja ya kuchukua upande wa ranking, ambapo itachukuliwa timu ambaye sio bingwa ila mwenye rank kubwa kwenye CAF kuliko wengine
Kubishana na hawa mambumbumbu utapata strees tu. Kwani wenyewe wanachojua duniani ni ubishi wa kitoto usio wa kulazimishaYanga hayupo wapi? Kwani Yanga katolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa?
Umemsahau AyubEmbu tuacheni mzaha jamani, Simba hiihii ya Papaa Boko, Kapombe, Zimbwe, Mzamiru iwanie kwenda kucheza dhidi ya Man City, Bayern, Madrid n.k?
Huu sasa ni mzaha.
Unajidhalilisha tu. Umeona umeshindwa kwenye hoja umeanza kuhamisha magoli. Likifika swala la usimba linakutoa akili kabisaKwanza imekuaje nyie hapo kwenye list ya 12 hampo?
Wakati kila siku humu mnatamba kuwa IFFHS ambayo ipo linked na FIFA inataja kuwa Yanga ipo nafasi tatu?
Simba kufikiq point za Mamelody ni jambo ambalo linawezekana na ndio maana amewekewa probability kubwa kuliko wewe.
Nyinyi kuchukua ubingwa wa CAF Champion league wala tusi mung'unye maneno HAIWEZEKANI
Kwani vigezo vya kushiriki ni rank pekee?Kwanza imekuaje nyie hapo kwenye list ya 12 hampo?
Wakati kila siku humu mnatamba kuwa IFFHS ambayo ipo linked na FIFA inataja kuwa Yanga ipo nafasi tatu?
Simba kufikiq point za Mamelody ni jambo ambalo linawezekana na ndio maana amewekewa probability kubwa kuliko wewe.
Nyinyi kuchukua ubingwa wa CAF Champion league wala tusi mung'unye maneno HAIWEZEKANI
Na kwa akili zako 'timamu' Yanga inaweza kuchukua kombe la CAFCL? Hata robo fainali inaweza?We jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukua kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuoano?? Una akili timamu wewe???
Wala hatujamaliza mjadala wa uwezekano wa Yanga kufika robo fainali za CAFCl umesharukia kwenye Yanga kuchukua kombe? 😂😂Kwahiyo wewe umeona Yanga kuchukua ubingwa umeona haliwezekani, ila Simba kufikisha point kuizidi point za Mamelod au Es Tunis kwa gap ya point 30+ ukaona linawezekana? Yaani usimba na Uyanga unakutoa uwezo wa kufikiria kabisa.
Najidhalilishaje?Unajidhalilisha tu. Umeona umeshindwa kwenye hoja umeanza kuhamisha magoli. Likifika swala la usimba linakutoa akili kabisa
Sasa kama mashindano ya nje na ndani Yanga alikuwa nafasi ya pili, kwanini kwenye top 13 ya FIFA Yanga hayupo?Kwani vigezo vya kushiriki ni rank pekee?
IFFHS inahusisha tathmini ya mashindano yote ya ndani na nje. Hayo mashindano ya club world cup inahusisha mashindano ya klabu bingwa pekee
Hoja yako ya IFFHS haihusiani hapa.
Huyo jamaa ni dalali wa IFFHSSasa kama mashindano ya nje na ndani Yanga alikuwa nafasi ya pili, kwanini kwenye top 13 ya FIFA Yanga hayupo?
Hayo mashindano ya nje ni mashindano gani kama huku kwenye CAF na FIFA hauonekani?
Nilipoona watu wanakuja na post za kuonesha Yanga pia imetajwa na FIFA nilistuka.Huyo jamaa ni dalali wa IFFHS
Haya maswali naulizwa na mtu anayejua mpira au usiyejua mpira?Sasa kama mashindano ya nje na ndani Yanga alikuwa nafasi ya pili, kwanini kwenye top 13 ya FIFA Yanga hayupo?
Hayo mashindano ya nje ni mashindano gani kama huku kwenye CAF na FIFA hauonekani?