Clouds FM...

Kifaranga

Senior Member
Jan 6, 2011
144
31
Naomba kujua.

Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM Arusha/Moshi, 87.8 FM Mbeya, 89.7 FM Lindi, 88.4 FM Mtwara, 89.7 FM Singida, 88.1 FM Mwanza, 88.4 FM Masasi, 87.5 FM Shinyanga.

Halafu masafa mchache sana yapo kuanzia 90.0 FM kama vile Dodoma, Manyara, Sumbawanga etc. Kuna nini hapa?

Ukilinganisha na redio nyingine kubwa kubwa kama Radio One, RFA, Capital FM, East Africa, masafa yanayoanzia 87.5 FM mpaka 90.0 FM kwa hizi redio nichache sana, mfano Radio One ina only 89.7 Dar es Salaam.

Why? Kwa nini?
 
Nilishawahi kusikia kuwa hawa jamaa walikuwa wananununua na kuzi-reserve for future tofauti na radio station nyingine ambazo hawakufanya hvy!
 
Kama wana hela kuzinunua hizo frequency kuna tatizo gani,mwenye uwezo ndo anapewa kipaombele.
kama stations zingine zinauwezo basi na wao wafanye juu chini
 
Haya tumesikia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Money talks bro nlifanikiwa kufanya kazi radio moja hivi mpya mpya unaambiwa ukienda kule TCRA kuna frequency haziguswi kabisa ni za wakubwaa.
 
duh jambo usilolijua usiku wa kiza, ni hivi hayo masafa ni kitu cha kufikirika tu, hakishikiki, TCRA ndio kiranja, anakata vipande na kugawa km viwanja, sasa km hukuomba/kununua utapewaje?
 
Back
Top Bottom