Clouds Moro sijui wamekumbwa na nini, karibu week ya tatu sasa hawasikikiWanao ipata Clouds Kwa Moro wanipe frequency tafadhali
Radio 1 ni radio kubwa? Sema ilikuwa kubwa, saiv bongo radio kubwa ni moja tu.Naomba kujua.
Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM Arusha/Moshi, 87.8 FM Mbeya, 89.7 FM Lindi, 88.4 FM Mtwara, 89.7 FM Singida, 88.1 FM Mwanza, 88.4 FM Masasi, 87.5 FM Shinyanga.
Halafu masafa mchache sana yapo kuanzia 90.0 FM kama vile Dodoma, Manyara, Sumbawanga etc. Kuna nini hapa?
Ukilinganisha na redio nyingine kubwa kubwa kama Radio One, RFA, Capital FM, East Africa, masafa yanayoanzia 87.5 FM mpaka 90.0 FM kwa hizi redio nichache sana, mfano Radio One ina only 89.7 Dar es Salaam.
Why? Kwa nini?
Itafute online tuWanao ipata Clouds Kwa Moro wanipe frequency tafadhali
TCRA anasimamia frequency za Ving'amuzi, Mitandao ya simu, TV na RedioNaomba kujua.
Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM Arusha/Moshi, 87.8 FM Mbeya, 89.7 FM Lindi, 88.4 FM Mtwara, 89.7 FM Singida, 88.1 FM Mwanza, 88.4 FM Masasi, 87.5 FM Shinyanga.
Halafu masafa mchache sana yapo kuanzia 90.0 FM kama vile Dodoma, Manyara, Sumbawanga etc. Kuna nini hapa?
Ukilinganisha na redio nyingine kubwa kubwa kama Radio One, RFA, Capital FM, East Africa, masafa yanayoanzia 87.5 FM mpaka 90.0 FM kwa hizi redio nichache sana, mfano Radio One ina only 89.7 Dar es Salaam.
Why? Kwa nini?
Huwa wananunua bei gani frequency kwa mkoa mmoja?TCRA anasimamia frequency za Ving'amuzi, Mitandao ya simu, TV na Redio
Hayo masafa hununuliwa pale unapokuwa na vigezo vya kurusha sehemu hizo ulizoomba, Pia watu hununua masafa kwa malengo ya baadae,
Kuna redio moja mwanza 94.1, ya Msama, alinunua masafa muda sana ila hakuwa hewani baadae ndio akaanzisha kituo, walioanzisha nyuma yake walipewa 102.5, 100.4 kina Lake na Mkombozi.
Hata Dialo hununua masafa na kureseve ili wengine wakipewa wawe mbali na masafa ya kituo chake kuhakikisha usikivu hauingiliani na redio zingine,
Mfano, Redio One 102.7 na Lake fm 102.5 kwa Mwanza kuna muda huingiliana.
Sijui nimekujibu..?
Koment chochote upate likesThread nyingine bana, sijui hata nikoment nini hapa!
Ndo nilikuwa sijajua hili kumbe mpaka utegeshe sehemu ndo utaiskia moja kumbe zinaingilianaTCRA anasimamia frequency za Ving'amuzi, Mitandao ya simu, TV na Redio
Hayo masafa hununuliwa pale unapokuwa na vigezo vya kurusha sehemu hizo ulizoomba, Pia watu hununua masafa kwa malengo ya baadae,
Kuna redio moja mwanza 94.1, ya Msama, alinunua masafa muda sana ila hakuwa hewani baadae ndio akaanzisha kituo, walioanzisha nyuma yake walipewa 102.5, 100.4 kina Lake na Mkombozi.
Hata Dialo hununua masafa na kureseve ili wengine wakipewa wawe mbali na masafa ya kituo chake kuhakikisha usikivu hauingiliani na redio zingine,
Mfano, Redio One 102.7 na Lake fm 102.5 kwa Mwanza kuna muda huingiliana.
Sijui nimekujibu..?
Reserved frequency mzee, watu wana nunua wanakaa nazoWasafi wa juzi wamepataje 88.9 au kusaga alinunua Masada zamani
Visit website ya TCRA kuna kila kitu mpaka jinsi ya kupata leseniHuwa wananunua bei gani frequency kwa mkoa mmoja?
Nina ndoto badae nikitulia nianzishe online radio nianze roughly na budget kiasi gani?
Kama mfitinishi au mtu mwenye roho mbaya?Peleka malalamiko yako TCRA
Hebu nisaidie, hivi minara ya radio hutofautiana? Mfano radio one,radio free afrika usikivu wake mkubwa sana hata sauti ni nzuri,je radio nyingine za FM usikivu ni duni hata nguvu ya kitambo haba nisaidie ukubwa wa mitambi km wtts au kv nahitaji nijue hayo.Visit website ya TCRA kuna kila kitu mpaka jinsi ya kupata leseni
Naomba kujua.