Kifaranga
Senior Member
- Jan 6, 2011
- 144
- 31
Naomba kujua.
Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM Arusha/Moshi, 87.8 FM Mbeya, 89.7 FM Lindi, 88.4 FM Mtwara, 89.7 FM Singida, 88.1 FM Mwanza, 88.4 FM Masasi, 87.5 FM Shinyanga.
Halafu masafa mchache sana yapo kuanzia 90.0 FM kama vile Dodoma, Manyara, Sumbawanga etc. Kuna nini hapa?
Ukilinganisha na redio nyingine kubwa kubwa kama Radio One, RFA, Capital FM, East Africa, masafa yanayoanzia 87.5 FM mpaka 90.0 FM kwa hizi redio nichache sana, mfano Radio One ina only 89.7 Dar es Salaam.
Why? Kwa nini?