Chupa za plastic kwa ajili ya juice

Ili upate faida labda upack asali,nusu lita uuze 3000 ama 2500 ndo utapatamo profit,

vipi wanaweza kuilable atakavyo mteja,i mean kuiprint lable
 
Habari wapendwa wa jamii forums, nina hitaji chupa za plastic kwa ajili ya juice za size kama ya chupa za azam energy, MO chungwa nk. Kama kuna mtu anaweza nishauri sehemu ya kuzipata au anauza itakua msaada mkubwa sana kwangu.
picha ikwapi kiongozi?
 
IMG-20170406-WA0004.jpg
Pamoja sana mkuu,.
 
Back
Top Bottom