Chupa za plastic kwa ajili ya juice

Mbona itakugalim sana wengine wanauza kweny mandoo mtu akihitaj analeta kikombe chake unampimia mchezo kwisha
Wateja ninao target wanahitaji juice iwe kwenye chupa mkuu.
 
Ndugu nimekuinbox picha .. ..ziada pia niliwahi sikia sido huwa kunapatikana vifungashio vya namna kadha wa kadha
 
Wapendwa nashukuru sana kwa michango yenu kwenye hii mada kwani nimefanikiwa kupata chupa leo asubuhi kutoka kiwandani. Kiwanda kipo mbezi makonde kuna njia inaingia upande wa kushoto baada ya kituo cha dala dala ukitokea mwenge.
 
Basi ni vyema tunashkuru pia kwa mrejesho ila usisahau kuweka hapa product itakapokuwa tayari.

Tunakutakia kila la heri.
 
Wapendwa nashukuru sana kwa michango yenu kwenye hii mada kwani nimefanikiwa kupata chupa leo asubuhi kutoka kiwandani. Kiwanda kipo mbezi makonde kuna njia inaingia upande wa kushoto baada ya kituo cha dala dala ukitokea mwenge.
Naomba kufahamu bei uliikuta vipi mkuu
 
Wapendwa nashukuru sana kwa michango yenu kwenye hii mada kwani nimefanikiwa kupata chupa leo asubuhi kutoka kiwandani. Kiwanda kipo mbezi makonde kuna njia inaingia upande wa kushoto baada ya kituo cha dala dala ukitokea mwenge.
hicho kiwanda kinaitwaje na mimi nataka
 
Wabongo wagumu sana kusaidiana,mara atakwa;mbia njo inbox,
huyu mtafuta msaada nae sasa kapata halafu mwenyuewe hataki kutoa msaada,

ha ha ha ha,binadamu bana...
Kivipi mkuu? Mi nimetoa shukrani na maelekezo jinsi ya kufika kiwandani.
 
Wapendwa nashukuru sana kwa michango yenu kwenye hii mada kwani nimefanikiwa kupata chupa leo asubuhi kutoka kiwandani. Kiwanda kipo mbezi makonde kuna njia inaingia upande wa kushoto baada ya kituo cha dala dala ukitokea mwenge.
Mkuu umepata kwa bei gani
 
Back
Top Bottom