TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,149
Wasaaaalamu
Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea ufafanuzi kadhia hiyo huku wananchi wakiendelea kuhaha
Kinachosikitisha zaidi kivuko kikubwa kilichokwenda kukarabatiwa ndio kwanza matengenezo yamefikia 40% na ni mwaka sasa unaisha tangu kipelekwe