D daudi_8 JF-Expert Member Jun 30, 2015 218 30 Mar 25, 2025 #1 Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549
Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549
Hot27 JF-Expert Member Oct 31, 2020 377 696 Mar 25, 2025 #2 Hivi CV ni inaandikwa kwamkono kama barua ama?
D daudi_8 JF-Expert Member Jun 30, 2015 218 30 Mar 25, 2025 Thread starter #3 Vyovyote ni sawa barua tu ndio lazima iwe handwritten
Kipangaspecial JF-Expert Member Mar 30, 2020 20,858 28,834 Mar 25, 2025 #4 daudi_8 said: Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549 Click to expand... Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo 1. Kasukali Mtani Jembe Na 2. Kasukali M Jembe Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
daudi_8 said: Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549 Click to expand... Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo 1. Kasukali Mtani Jembe Na 2. Kasukali M Jembe Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?