Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,209
- 95,989
Mwanyasi babu mzee kikongwe@asprin na Numbisa
mnaharibu huu uzi nendeni Makapuku forum kule muendeleze ligi yenu.
alafu wewe numbisa usinifananishe na wanaume wa dar ambao wanaogopa kukamata kuku. mxiuu
alafu wewe asprini ushazeeka mpaka naniliu inasimama kama ina kifafa. embu acha zako ujue nakuheshimu sana ila unavuka mstari mwekundu
komaaaaa, utakufaaa wewe!!!!!Habari
Mwaka 2011 wakati namaliza A level nili-bashite haswa nikawa sina chaguo lingine zaidi ya kwenda kusoma ualimu wa primary.
Nilipohitimu nilipangiwa kwenda kufanya english medium moja iliyopo hapo mwanza(jina kapuni).
Nilifanya kazi pale japokuwa kulikuwa na wanafunzi wa kiarabu na kihindi changanya na waswahili wenye hela zao.
Mimi nilikuwa patron wao kipindi hicho ila waarabu nilikuwa siwapendi kabisa. Watoto wa kiarabu ni wababe sana, mfano kulikuwa na mwanafunzi wa kike wa kiarabu yeye alikuwa anawapa wenzake adhabu au kuwapigisha darasa zima magoti.
Japokuwa watoto wale ni waelewa sana. Siku moja nilikwenda kazini na stress zangu. Mtoto mmoja wa kiarabu nilijikuta nimemchapa sana mpaka akawa mwekundu hasa.
Jioni ilipofika alirudi kwao kwa sababu kulikuwa na wa kulala na kwenda nyumbani. Balaa lilikuja asubuhi, ilikuja vogue nyeusi, yule mtoto aliteremka na baba yake akiwa kashika bunduki. Kilichofuata mimi nilikimbia kabisa na sikurudi shuleni pale. Mwisho nilifukuzwa kazi
asante
Mwanaume wa dar una mipasho aisee sauti imekulegea kama umekula kungu manga
Alleppooo tuma salamu kwa watu watatu. Uzi upo chit chaaaatttView attachment 518376
Alikula na wewe?Kupendwa kimapenzi na Boss Wangu.....nikamkwepa, halafu nikatengeneza urafiki na mkewe bila yeye kujua. ....kumbe keshakula wengi tu pale ofisini. ...kutokana na maelezo ya mkewe.
Hapana hakufanikiwa. ....alibakia kunipendelea kwenye kazi. ....nisije muharibia kwa mkewe.Alikula na wewe?
HahaaaaaHabari