MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,909
- 3,690
Mkuu apa naona BAVICHA wamepigwa za uso na UVCCM...nilitegemea threads nyingi sana leo kuhusu rahisi mpya lakin dah...kweli mwenye nguvu muache aitwe powerLikishamalizika hili la Makonda litaanza la nani maana TZ inaenda kwa matukio