CHADEMA yatoa msimamo juu ya sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

T
::Mh. Rais atoa tamko kuhusu shutuma za ujambazi wa kutumia silaha zinazomkabili Daudi Bashite ::

Mh. Tundu Antiphas Lissu, Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika ametoa tamko

Waheshimiwa wananchi wa Tanzania. Nimesikia taarifa za kuvamiwa kwa kituo cha habari cha Clouds Media.
Mkuu wa Mkoa katika nchi yetu sio kamanda wa kikosi chochote cha jeshi lolote lililoanzishwa kwa mujibu wa sheria.
Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa sheria za nchi yetu hayajumuishi kuamrisha askari jeshi au polisi au usalama wa taifa kuvamia makazi au sehemu za biashara za watu.
Mkuu huyu wa mkoa hastahili kuendelea kwenye madaraka hayo kwa siku moja zaidi. Hana tena sifa wala maadili wala sababu za kuendelea kuwa kiongozi wa umma.
Namshauri Rais Magufuli atengue uteuzi wake haraka iwezekanavyo kabla hajachafua zaidi taswira ya serikali na ya Rais Magufuli mwenyewe.
Aidha, namshauri Rais Magufuli amchukulie hatua stahiki kamanda au mkuu wa kikosi chochote cha Jeshi lolote aliyeruhusu askari wake kutumiwa na Paul Makonda kwa namna iliyoripotiwa.
Tundu Antiphas Lissu, Rais, Chama cha Mawakili wa Tanganyika.
Tamko la kitoto hivyo!! Nyumbu ndo wataliewa tamko hilo!!
 
Gastura bhana, vip na yeye kupata zero nakuongoza kina prof safari na baregu?

Vip kujibadilishia katiba asiachie uenyekiti? Nani atamwajibisha?
Ujinga ni kitu hatari sana hasa unapo mpata mtu mpumbavu , hoja iliyopo mezan nyingine nawewe unaleta kitu kingine kabisa. Kupata zero wakati jina ni lako haina mbaya, hoja kwanini mtu atumie vyombo vya dola kwa maslahi yake na mambo yake?
 
~~~>>Ni jambo la ajabu sana Jiji ambalo

#1. Chuo kikuu cha kwanza kipo Dar es sallaam

#2. Ikulu ipo dar es sallaam

#3. Shekhe mkuu yupo Dar es sallaam

#4. Askofu mkuu yupo Dar

#5. Amiri Jeshi mkuu yupo Dar

#6. Mkuu wa majeshi yupo dar

N.k

Kila kitu kikuu kipo dar kasoro Bunge tu


Halafu Dar inaongozwa na kilaza flani hivi...

Ukawa msimpe ushirikiano Makonda
 
09ddb5ea05f8dbe2b67aeb98d0c68dc1.jpg
 
~~~>>Ni jambo la ajabu sana Jiji ambalo

#1. Chuo kikuu cha kwanza kipo Dar es sallaam

#2. Ikulu ipo dar es sallaam

#3. Shekhe mkuu yupo Dar es sallaam

#4. Askofu mkuu yupo Dar

#5. Amiri Jeshi mkuu yupo Dar

#6. Mkuu wa majeshi yupo dar

N.k

Kila kitu kikuu kipo dar kasoro Bunge tu


Halafu Dar inaongozwa na kilaza flani hivi...

Ukawa msimpe ushirikiano Makonda
Ni kilaza Maana alizungusha (0) form 4 ni jambazi (kugushi vyeti, kavamia clouds na kuiba, kajimilikisha Mali za watuhumiwa)
 
chadema na ccm siwapeendiii,ila nmefall in love to TLS ,society ya wasomi Sa mbowe utaniconvice nn hakuna tofauti na bashite probably tu unamzidi mali
 
Kwa kiwewe alichonacho Bashite, nashauri kiusalama asiruhusiwe kusimama karibu na raisi bila walinzi kuchukua tahadhari!
 
Back
Top Bottom