Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Safi sanaa maccm hayajui hata maana ya democracy na wameshaanza kupwelepweta maana direction washakosa.
Duuu jamaa wamchemsha bado mapema sana
Safi sanaa maccm hayajui hata maana ya democracy na wameshaanza kupwelepweta maana direction washakosa.
wewe taja ncho moja ya kidemokrasia iliyowahi kuzuia wanasiasa kujishughulisha na siasa baada ya uchaguzi. acha umbumbu na jionee aibu unapoweka comment hapa. kosa kubwa mnalofanya wavivu wa kufikiria wa fisiem ni kuwa hii nchi ni ya kwenu peke yenu. hii ni nchi ya kila mmoja na kumbuka hatara rais anatakiwa kulinda na kutii sheria. kama kweli kauli hii kaitoa waziri mkuu itakuwa ni maajabu ya dunia mapya
Hili ndo tatizo la kupora ushindi, ziku zote mwizi hajiamin kabsa!! Mbaya zaid hawakufikir cku1 watafikia kama watakuwa viongoz wakuu wa nch kwa figisufigisu, na ndiyo mana wana lugha za kushindwa, Naionea huruma Nchi yangu Tanganyika jinc inavyoendeshwa kiuwongouwongo na viongoz waliohishiwa fikra za kiutendaji
Chadema matamko! Ha ha ha ha Kachungeni ng'ombe sasa!
CHADEMA hamna akili!
Mnaongelea kuhusu Demokrasia nitajieni nchi moja tu ya Kidemokrasia Dunia hii ambayo baada ya uchaguzi kuisha na Raisi kuapishwa wanasiasa wake wanaanza kampeni za uchaguzi ujao!
Kama ni hivyo kuna haja gani sasa ya Tume ya uchaguzi kuweka kipindi cha kampeni za kisiasa? au hata hilo pia hamulielewi? Bunge lina maana gani? Ni kwa nini mna Wabunge wameenda kufanya nini Bungeni?

Nadhani kama ni kulewa madaraka mapema basi wabunge wa ukawa kwa kitendo chao cha kumfanyia fujo mheshimiwa Rais alipokwenda kulihutubia bunge ilikuwa ni ulevi wa madaraka uliopitiliza.Inawezezeka serikali nayo imeshajifunza kupitia matendo yao kwamba hawa watu sio wa kubembelezana nao manake hawakawii kujisikia DEKO.Kilichobaki sasa KAZI TU,MAHABA pembeni.