LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Itakusaidia nini kutetea upuuzi wa kudhulumu haki za watu au ndiyo huo uroho wa madaraka? Wewe kwenye akili yako unaamini kabisa kwamba wagombea wa upinzani wameshindwa kujaza fomu kweli! Waafrika ni viumbe wa ovyo kabisa hadi mtu unajiuliza sijui kwanini Mungu ametuumba!
We nyumbu ndio mpuuzi unatetea usilojua. Tuliza tako fanya mambo yako. Si waafrika we ndio wa hovyo
 
Na wewe uliyeandika hapa unawezaje kujua kuwa fulani kakosea hapa au pale ikiwa na wewe umakini mdogo tu haunao!!??
"Ndrugu" ni nini!!?
wasiofuata taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi kwenye uchaguzi hastahili kupewa fursa ya uongozi.
Vigezo na masharti ya kisheria Lazima vizingatiwe..

itakua ni kunajisi katiba ya nchi kuruhusu makosa ya makusudi kwa wasio na sifa 🐒
 
Chadema sijuhi wanawazaga nini???
.
Unawezaje kuingia kwenye uchaguzi kwa katiba hii yani unategemea nn hapo daah??
 
Hao ccm unawajua au unawasikia? Kuna mambo ya kipuuzi sana yanafanyika, hebu fikiria majina ya wanafunzi yanaingizwa kwenye list ya wapiga kura
wagombeaji uongozi wa vyama vyote wanaoshindwa kutimiza vigezo na masharti ya kisheria kwa kukosea mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujaza fomu waenguliwe tu..

hayo mengineyo ni porojo na story za kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbdala, hayana maana gentleman 🐒
 
Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia kila mgombea akiwa ameandikiwa makosa hayo ambayo ni tofauti na makosa yaliyotajwa awali baada ya wao kuenguliwa.
View attachment 3153064
Wakome
 
Eti Nchimbi anadai Tamisemi ipuuze makosa madogo madogo wakati anajua ni sheria Haina fursa ya kuipuuza. 😂😂😂😂

Chadema Huwa wanakurupuka na hawajiandai mapema harafu wanakuja kutafuta visingizio vya kijinga
 
We nyumbu ndio mpuuzi unatetea usilojua. Tuliza tako fanya mambo yako. Si waafrika we ndio wa hovyo
Jaribu kuwa mstaarabu, niliyemjibu tumebishana bila kutukanana kwahiyo tafadhali tuheshimiane kwa sababu hata mimi matusi nayaweza.
 
Back
Top Bottom