LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wanasubiri nini kugomea zoezi la kishenzi lililopachikwa jina la uchaguzi.?

Wanasubiri kushiriki halafu baadar waseme wameibiwa?

Unashiriki vipi shindano ambalo mwamuzi ana "hisa" kwa mshindani wako?
 
Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia kila mgombea akiwa ameandikiwa makosa hayo ambayo ni tofauti na makosa yaliyotajwa awali baada ya wao kuenguliwa.
View attachment 3153064
UMASIKINI TUNAJITAKIWA WENYEWE. Hivi mnafikiria hii nchi inaenda wapi huu ni uchaguzi wa chini kabisa! Kama tamaa zimefika huko uzalendo uko wapi
 
Friends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,

sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? 🐒

Yaani wewe mtu mzima na akili yako unafikiria CCM tu ndiyo wamejaza form. Chadema wamejaziwa na wanasheria. Uzuri Mungu ameshajua Watanzania tumelala na atafanya kazi yake tutasikia mwanzo wa mwaka kesho kazi yake

Magu naye alichekelea 2019 yuko wapi
 
alieshindwa kujaza fomu, awe mgombea wa chama chochote kile tayari ameshindwa uchaguzi hatua za mwanzo kabisaa. Yafaa ajipange kwa wakati mwingine tena gentleman 🐒
Sasa sivyo kwa hawa wahuni. Wanaangalia kigezo cha chama tu, kama siyo chawa (ccm) unakatwa bila kujali umejaza vizuri au la. Kama ni chawa unapitishwa chap chap
 
Yaani wewe mtu mzima na akili yako unafikiria CCM tu ndiyo wamejaza form. Chadema wamejaziwa na wanasheria
Gentleman,
wamejaziwa fomu au wamepotoshwa na kuingizwa mkenge na wanasheria?🤣

ukiwa hujianini na ukiwa na mani haba na potofu ni kitu mbaya sana aise. eti wamejaziwa na wanasheria dah 🤣
 
No,
hakuna utaalamu kwenye mambo haya. Muhimu ni kuzingatia maelezo, vigezo na masharti ya kikanuni, kisheria na kikatiba.

hakuna muujiza wala wala hisani kwenye michakato wa uchaguzi gentleman 🐒
Hongereni kwa kuzingatia maelekezo,vigezo na masharti ya kikanuni,kisheria na kikatiba.
 
Yaani wewe mtu mzima na akili yako unafikiria CCM tu ndiyo wamejaza form. Chadema wamejaziwa na wanasheria. Uzuri Mungu ameshajua Watanzania tumelala na atafanya kazi yake tutasikia mwanzo wa mwaka kesho kazi yake

Magu naye alichekelea 2019 yuko wapi
Endelea Kupambana zaidi Ukiona Umeshindwa Ungana Nao,,,Dunia Haina Huruma Kamwe.
 
Sasa sivyo kwa hawa wahuni. Wanaangalia kigezo cha chama tu, kama siyo chawa (ccm) unakatwa bila kujali umejaza vizuri au la. Kama ni chawa unapitishwa chap chap
Lakini gentleman,
kuna wagombeaji wa upinzani pia maelfu kwa maelfu wamejaza fomu vizuri na kuthibitishwa na wasimamizi wa uchaguzi kama wagombeaji rasmi wa uchaguzi huo wa serikali za mitaa.

kulikoni ?🐒
 
Hongereni kwa kuzingatia maelekezo,vigezo na masharti ya kikanuni,kisheria na kikatiba.
Gentleman,
na huo ndio ustaarabu na utamaduni wa mchakato wa uchaguzi.

sio unaenda kuchukua fomu na mihemko, kitu ambacho kitakupelekea ujaze fomu hiyo kwa ghadhabu na matokeo yake ukosee kuijaza 🐒
 
Endelea Kupambana zaidi Ukiona Umeshindwa Ungana Nao,,,Dunia Haina Huruma Kamwe.

Huwezi kuungana na wala rushwa ukashinda hata siku moja. Viongozi wa sasa hivi sio watu ambao wanajali nchi ni marafiki na familia kwanza. Nchi hii ni shamba la bibi sasa utajiunga nao wakupe wewe na sio wakwe zao na watoto !
 
Lakini gentleman,
kuna wagombeaji wa upinzani pia maelfu kwa maelfu wamejaza fomu vizuri na kuthibitishwa na wasimamizi wa uchaguzi kama wagombeaji rasmi wa uchaguzi huo wa serikali za mitaa.

kulikoni ?🐒
Jimbo la UBUNGO wamekatwa wote pia!!
 
Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia kila mgombea akiwa ameandikiwa makosa hayo ambayo ni tofauti na makosa yaliyotajwa awali baada ya wao kuenguliwa.
View attachment 3153064
Kukata rufaa ilikuwa tu kutimiza takwa la kisheria ila picha nzima ni kwamba mpango wao ccm ni uleule hakuna kumruhusu mgombea wa chadema kuingia kwenye kinyang`anyiro bila kupingwa
 
Gentleman,
na huo ndio ustaarabu na utamaduni wa mchakato wa uchaguzi.

sio unaenda kuchukua fomu na mihemko, kitu ambacho kitakupelekea ujaze fomu hiyo kwa ghadhabu na matokeo yake ukosee kuijaza 🐒
Si ndiyo maana nimewapongeza maana ni ccm tu peke yao wameenda kuchukua fomu na kuzijaza bila mihemko,hongereni sana,mmebarikiwa kuliko vyama vyote.
 
Huwezi kuungana na wala rushwa ukashinda hata siku moja. Viongozi wa sasa hivi sio watu ambao wanajali nchi ni marafiki na familia kwanza. Nchi hii ni shamba la bibi sasa utajiunga nao wakupe wewe na sio wakwe zao na watoto !
Basi Endeleza Mapambano Punguza Kulialia
 
Si ndiyo maana nimewapongeza maana ni ccm tu peke yao wameenda kuchukua fomu na kuzijaza bila mihemko,hongereni sana,mmebarikiwa kuliko vyama vyote.
Yes,
Mambo haya hawahitaji ujuaji mwingi na shari. Yanahitaji kujipanga na kujiandaa vyema.
Na ukikwama leo jipange kwajili ya wakati mwingine ujao na huna haja kuonyesha huruma wala masikitiko gentleman 🐒
 
Hizi rufaa ilikuwa ni kutimiza wajibu tu, lakini kiuhalisia Tamisemi na CCM lao ni moja.

Sikumbuki ni lini CCM ilishawahi kushinda Kitongoji, Kata, Udiwani, Ubunge na Urais kwa haki bin haki tangu mfumo wa vyama vingi 1995 ulipoanza.
 
Back
Top Bottom