the guardian 17
Senior Member
- Aug 15, 2024
- 115
- 168
Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia kila mgombea akiwa ameandikiwa makosa hayo ambayo ni tofauti na makosa yaliyotajwa awali baada ya wao kuenguliwa.