Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
-
- #181
Good pointWewe jiulize, kwa nini kila mwenye scandal/mchafu anachukuliwa na Mbowe? Mbowe huyo huyo alimkashifu Lowassa kuwa si msafi, akaenda kumuomba aende Chadema ili wachukue nchi na wakapoteza uchaguzi. Baada ya kuona chama kinamfia, akafanya chini juu kumchukua Wema aende kukikomboa chama. Hivi Wema ni mtu wa kushawishi wananchi kweli, kwa hoja zipi? The girl never finished school na kichwani ni hakuna kabisaaa kwani akili alishaunguzaga na bangi toka utotoni, na huko Singapore alikokwenda tunajuwa alikuwa mpira wa kona tu. Eti leo kawa mkombozi wa Chadema, Mbowe unakiua chama na ndiyo maana umekimbiwa na viongozi wako huko Mwanza.
Huyu Paul Albert yupo wapi?hafanyi kazi serikalini au Taasisi binafsi kwa cheti hicho?Mkuu alipata Zerooo fomfoo akajiongeza akachukua cheti cha Paul Albert ila ameshakimbia yupo Sauzi anaishi kwenye kichumba kama stoo
Paulo alikuwa mtoto wa masikini yupo kijijini anakata mkaaHuyu Paul Albert yupo wapi?hafanyi kazi serikalini au Taasisi binafsi kwa cheti hicho?
Sawa tumeona ulichoandika. Hayo ni mawazo yako. Kama umemaliza, mwambie jamaa yako alete vyeti.Dhumuni ya propaganda zozote dhidi ya mpinzani wako pamoja na "kumchafua" lazima kwa kiasi kikubwa yapasa "zikusafishe". Hapa Tanzania imekuwa kinyume, Mbowe bado ametapakaa "tope" na ameweka kinga watu wasitoe tope hilo.
"In the long run" CHADEMA bado wamebaki na mzigo mkubwa kuondoa "tope" hili. Ni ngumu kuisafisha taswira ya CHADEMA katika hili na itachukua miongo kadhaa kama bado sura zile zile zitabakia kileleni.
"Siasa ni sayansi", kisu kwenye Mfupa "kaaaaa"
Umekuwa magua vyeti?Sawa tumeona ulichoandika. Hayo ni mawazo yako. Kama umemaliza, mwambie jamaa yako alete vyeti.
[HASHTAG]#vyetihalali[/HASHTAG]
Kama alifaulu kidato cha nne kwa vyovyote huyu alisonga mbelePaulo alikuwa mtoto wa masikini yupo kijijini anakata mkaa
Kidato cha nne alipata zero mkuuKama alifaulu kidato cha nne kwa vyovyote huyu alisonga mbele
Huyu "Paul" halisi yuko wapi?Kidato cha nne alipata zero mkuu
Daudi Bashite ndio unajua alipomuachaHuyu "Paul" halisi yuko wapi?
Hapa ndipo kwenye propagandaDaudi Bashite ndio unajua alipomuacha
Nadhani hauko vizuri kichwani. Wahi Milembe.Umekurupuka tu, rudi kamalizie punyeto yako. Ungesoma hii mada toka mwanzoni ungeelewa lakini ndiyo hivyo tena, umekata kupiga punyeto umekimbilia kitu usichokijuwa kisa, eti umesoma kichwa cha habari tu. Kamalizie nyeto yako, rudi baadaye.
Kama mbowe ana hatia mchukulieni hatua.Dhumuni ya propaganda zozote dhidi ya mpinzani wako pamoja na "kumchafua" lazima kwa kiasi kikubwa yapasa "zikusafishe". Hapa Tanzania imekuwa kinyume, Mbowe bado ametapakaa "tope" na ameweka kinga watu wasitoe tope hilo.
"In the long run" CHADEMA bado wamebaki na mzigo mkubwa kuondoa "tope" hili. Ni ngumu kuisafisha taswira ya CHADEMA katika hili na itachukua miongo kadhaa kama bado sura zile zile zitabakia kileleni.
"Siasa ni sayansi", kisu kwenye Mfupa "kaaaaa"
Nilikuwa nafikiri Mbowe ametuhumiwa tu kumbe amekamatwa na madawa ya kulevya?Dhumuni ya propaganda zozote dhidi ya mpinzani wako pamoja na "kumchafua" lazima kwa kiasi kikubwa yapasa "zikusafishe". Hapa Tanzania imekuwa kinyume, Mbowe bado ametapakaa "tope" na ameweka kinga watu wasitoe tope hilo.
"In the long run" CHADEMA bado wamebaki na mzigo mkubwa kuondoa "tope" hili. Ni ngumu kuisafisha taswira ya CHADEMA katika hili na itachukua miongo kadhaa kama bado sura zile zile zitabakia kileleni.
"Siasa ni sayansi", kisu kwenye Mfupa "kaaaaa"
Mkuu Daudi Bashite ni mzigo wa misumari alipata Zero kidato cha nne km mnataka kumbeba basi atuoneshe vyetiHapa ndipo kwenye propaganda
Acha UPUMBAVU wewe mkereketwa wa chama cha majuha . . , hoja iliyoko barazani haihusiani hata kidogo na UHARO ulio post hapa . . Mwambie Bashite aweke vyeti mezani . .Una IQ ndogo sana....mimi nawasikitikia misukule ya Mbowe kwa kuleweshwa ujinga ndiyo maana naandika haya. Hata wewe mwenyewe jiulize, kwa nini mchungaji Dr. Slaa alimkimbia Mbowe na kumuachia chama kinamuozea baada ya kumchukua fisadi Lowassa? Mbowe alimsema Lowassa kuwa si msafi na ni fisadi hata wewe ulisikia na kushangilia, hapo hapo akawageuka na kwenda kumuomba aingie Chadema huku akimsafisha. Sasa amekwenda mbali Zaidi kwa kumuokota changu (Wema) ili aje akinusuru chama, hivi kweli hata hiyo dawa ya msukule uliyonyweshwa ndiyo ushindwe hata kuligundua na jipu hili? Mbowe kweli ni kiboko ya misukule.