kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,667
- 3,051
Mwenye uwezo mkubwa wa kuifahamu misukule ni yule aishie kama msukule.hivyo ni misukule pekee iwezayo kuifahamu misukule.hongera !!Una IQ ndogo sana....mimi nawasikitikia misukule ya Mbowe kwa kuleweshwa ujinga ndiyo maana naandika haya. Hata wewe mwenyewe jiulize, kwa nini mchungaji Dr. Slaa alimkimbia Mbowe na kumuachia chama kinamuozea baada ya kumchukua fisadi Lowassa? Mbowe alimsema Lowassa kuwa si msafi na ni fisadi hata wewe ulisikia na kushangilia, hapo hapo akawageuka na kwenda kumuomba aingie Chadema huku akimsafisha. Sasa amekwenda mbali Zaidi kwa kumuokota changu (Wema) ili aje akinusuru chama, hivi kweli hata hiyo dawa ya msukule uliyonyweshwa ndiyo ushindwe hata kuligundua na jipu hili? Mbowe kweli ni kiboko ya misukule.
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app