Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
- Thread starter
- #181
Good pointWewe jiulize, kwa nini kila mwenye scandal/mchafu anachukuliwa na Mbowe? Mbowe huyo huyo alimkashifu Lowassa kuwa si msafi, akaenda kumuomba aende Chadema ili wachukue nchi na wakapoteza uchaguzi. Baada ya kuona chama kinamfia, akafanya chini juu kumchukua Wema aende kukikomboa chama. Hivi Wema ni mtu wa kushawishi wananchi kweli, kwa hoja zipi? The girl never finished school na kichwani ni hakuna kabisaaa kwani akili alishaunguzaga na bangi toka utotoni, na huko Singapore alikokwenda tunajuwa alikuwa mpira wa kona tu. Eti leo kawa mkombozi wa Chadema, Mbowe unakiua chama na ndiyo maana umekimbiwa na viongozi wako huko Mwanza.