CHADEMA MUST now Reform and Restructure!

Asante Rev. Kishoka, naamini wenye mapenzi mema na Chadema wamekuelewa, mimi nimeposti post kuhusu Chadema hawajajipanga, nakubali udhaifu wangu nilitaja majina na udhaifu wao, hivyo ikaonekana ni matukano.

Safu ya uongozi uliyoipendekeza ni nzuri, ila kwa maoni yangu, safu hiyo mpya ya uongozi pia ipinge baadhi ya dhana zilizojengwa dhidi ya Chadema, hivyo kwa ushauri wangu, Mwenyekiti akiwa denomination fulani, katibu mkuu awe denomination nyingine na nilitaja jina, halafu Rwakatare awe naibu katibu mkuu.

Kuna mafanatic wa Chadema ambao bado ni waumini kuwa Chadema ni chama cha kina fulani, na hao akina fulani, ndio wamewakabidhi chama kina fulani, hivyo hao waliokabidhiwa, chama ni mali yao. Ndio maana Zitto alipogombea Uenyekiti nilimuuliza amepata wapi manlaka ya kutaka kwenda juu bila ruhusa ya wenye chama?, Zitto na kiburi chake na kujiamini kwake kulikopitiliza, akataa ushauri wa kuomba baraka kwa wenye chama na kutangaza straight atawavaa wenyewe. Kilichofuatia sote tunakijua.

Hivyo ili kuondoa dhana ya Chadema ni chama cha kina fulani na ndio wamepewa kifamilia, hao kina fulani wakubali kupisha uongozi wa kitaifa zaidi ili kuifuta hiyo dhana ya kifamilia hata kama wamechaguliwa katika chaguzi halali ndani ya chama.

Angalizo kwa wapenzi wa Chadema na mashabiki wa chama hiki, Chadema sasa imefika level za juu kabisa, sio chama chenu tena, ni chama cha wote, ni chama cha kitaifa, kama kinavyopendwa Kaskazini, tungependwa kipendwe vivyo hivyo na Kusini. Tunawashukuru na kuwaheshimu waasisi wa chama hiki tangu walipokiasisi na kukitoa hapo kilipoanza mpaka hapa kilipofika, hapa ndio mwisho wao, its about time kuunda more capable team kukiondoa kwenye the running lane na kukipaisha kabisa angani na kuenea Tanzania yote.

Pasco,

unajua kabisa kwamba wewe ni mkongwe katika forum hii na kikubwa zaidi umejitambulisha kama political analyst na kwa kweli post zako nyingi nimekuwa nikizisoma zinanivutia na zinamambo ya msingi sana unayatolea ushauri na mwelekeo.
Lakini nisichelewe kusema kwamba mara nyingi unapozungumzia uongozi wa chadema huachi kum-advocate rafiki yako mh. Zitto. Pamoja na kwamba Zitto ana uwezo mkubwa sana na ana sifa zote za kuwa kiongozi lakini hiyo haina maana kwamba wengine hawafai kumuongoza zitto kwa kuwa tu ana sifa zote za kumfanya awe hata mwenyekiti wa chama. Mimi nadhani nyie wataalamu mnapotoa mawazo yenu mazuri namna gani nzuri ya kuiboresha chadema mnapaswa pia kuchana na mambo ya personalities. Kwamba lazima fulani awe mwenyekiti au katibu kama unavyotaka wewe ndio uamini kwamba chama kinakwenda kwenye njia sahihi nadhani hapo mnakuwa mnapotoka. Suala la msingi kabisa hapa ni kuona ni namna gani kutakuwa na sera, katiba na taratibu zilizo wazi kabisa kwa kila mwanachama kugombea nafasi ya uongozi wa chama bila kuonekana kwamba kuna zengwe ama uchakachuaji. ziainishwe sifa za kiongozi husika katika kila nafasi husika ili kama mtu anashindwa kukidhi vigezo basi katiba yenyewe imuengue na si "busara za wazee wa chama" Kwahiyo mi nadhani tu-focus kutoa ushauri wa kufanya maboresho ya katiba na mambo mengine ya namna hiyo lakini kuwapigia debe watu fulani hapo tunajaribu kujenga na kuendelea makundi na migawanyiko ndani ya chama ambayo haitakisaidia chama badala yake ni kukisambaratisha.
 
Utawapata vipi hao wabunge ikiwa uchakachuaji upo? hivi husomi yaliyotokea Zanzibar miaka yote iliyopita? Amini maneno yangu kwa mfumo huu uliopo Chadema or any opposition party will never gain 100 seat bungeni - NEVER!

Kuendelea kuishi kwa matarajio haya mabadiliko, itakuwa ndoto kuleta mabadiliko ya kiutawala katika nchi hii.
It is all about time, na pia mna sahau na kukosea pale mnapoona chadema pekee ndio ina ticket ya kuleta mabadiliko ya kweli au upinzani wa kweli kwa chama tawala.

In any case, hard work is the key to every success.
 
PASCO
Wewe nimtu usiye elewa kabisa na kama una elewa basi unasahau haraka, juzi umetoa maada yako hapa jamvini ukisema CCM imechokwa CDM haijajiandaa. ulielezwa vizuri kabias kuwa hoja yako haikuwa namantic yoyote zaidi ya majungu.Unatoa ushauri ambao huja fanyia utafiti kwawatu wenye akili timamu huo sio ushauri ila ni uchafu leo una ungana na mchungaji kisho ku atack personalities za viongozi wa CDM eti mna sema ni ushauri, hivi kwanini mna amua kujivunjia heshima yenu namna hii? nina uhakika kabisa tatizo la taifa hili bado hamjui kabisa nilipi.

Kama ni waadilifu zungumzieni mfumo tuwaelewe,katika CDM kama mfumo wapi pana matatizo nasio nani anamvuto hii haiingii aklini kabisa! jaribuni kuwa realistic sio mnaropokaropoka tu ninyi ndio wale wale mashabiki wa mpira kumkosoa refa eti ngempanga huyu pale na huyu pale tunge shinda.Wala hmna habari kuwa refa huyu hata mpira uchezwe vipi ushindi amesha toa kwa mpinzani wako hiyo habari hamna.Toeni hoja zenye mantic someni historia ya siasa za tanzania toka uhuru mpaka leo mtapata jambo fulani lenye kuwa fungua akili.Hamjui hata kama CDM mwaka 2006 walifanya mabadiliko makubwa ya kimfumo chini ya uenyekiti wa mbowe nachama kimekuwa kizuri,

PASCO ulikiri kuwa umekosea sikutegemea kama ungerudi tena kuungana na akina mchungaji kuongea uongo na kuatack viongozi wa CDM, wenye aklili wanajua Katiba ya nchi, tume ya uchaguzi,Takukuru na UWT ndio matatizo makubwa katika nchi hii maana vina fuga ufisadi lakini nyie baada yakupewa kaptula, tishirts,kofia na khanga mmesha lewa hata point hamna tena.......

Angalizo Ushauri unao utoa ili watu wa ufanyie kazi basi lazima uwe umeufanyia utafiti na unavigezo mhimu sio mnakurupuka tu
 
Nyahende wakati ule tulipo kuwa shule hukuwa hivi sikuhizi umekuwa mwadilifu sana,nakubaliana naushauri wako kwa PASCO umemshauri vizuri sana tena kwa diplomatic
 
Pasco said:
Asante Rev. Kishoka, naamini wenye mapenzi mema na Chadema wamekuelewa, mimi nimeposti post kuhusu Chadema hawajajipanga, nakubali udhaifu wangu nilitaja majina na udhaifu wao, hivyo ikaonekana ni matukano.

Safu ya uongozi uliyoipendekeza ni nzuri, ila kwa maoni yangu, safu hiyo mpya ya uongozi pia ipinge baadhi ya dhana zilizojengwa dhidi ya Chadema, hivyo kwa ushauri wangu, Mwenyekiti akiwa denomination fulani, katibu mkuu awe denomination nyingine na nilitaja jina, halafu Rwakatare awe naibu katibu mkuu.

Kuna mafanatic wa Chadema ambao bado ni waumini kuwa Chadema ni chama cha kina fulani, na hao akina fulani, ndio wamewakabidhi chama kina fulani, hivyo hao waliokabidhiwa, chama ni mali yao. Ndio maana Zitto alipogombea Uenyekiti nilimuuliza amepata wapi manlaka ya kutaka kwenda juu bila ruhusa ya wenye chama?, Zitto na kiburi chake na kujiamini kwake kulikopitiliza, akataa ushauri wa kuomba baraka kwa wenye chama na kutangaza straight atawavaa wenyewe. Kilichofuatia sote tunakijua.

Hivyo ili kuondoa dhana ya Chadema ni chama cha kina fulani na ndio wamepewa kifamilia, hao kina fulani wakubali kupisha uongozi wa kitaifa zaidi ili kuifuta hiyo dhana ya kifamilia hata kama wamechaguliwa katika chaguzi halali ndani ya chama.

Angalizo kwa wapenzi wa Chadema na mashabiki wa chama hiki, Chadema sasa imefika level za juu kabisa, sio chama chenu tena, ni chama cha wote, ni chama cha kitaifa, kama kinavyopendwa Kaskazini, tungependwa kipendwe vivyo hivyo na Kusini. Tunawashukuru na kuwaheshimu waasisi wa chama hiki tangu walipokiasisi na kukitoa hapo kilipoanza mpaka hapa kilipofika, hapa ndio mwisho wao, its about time kuunda more capable team kukiondoa kwenye the running lane na kukipaisha kabisa angani na kuenea Tanzania yote.

Pasco,

..mbona hayo ya denomination tofauti kati ya Mwenyekiti na Makamu tayari yapo ktk Chadema? ipo pia hata kwa Katibu Mkuu na Naibu wake. mara nyingine ukiendekeza perceptions fulani fulani your thinking gets clouded na unashindwa kuona very obvious facts.

..Mwenyekiti wa kwanza alikuwa Mzee Mtei, akafuatiwa na Mzee Mohamed "Bob" Makani.

..dhana kwamba Mbowe amepewa uenyekiti na baba mkwe wake inatoka wapi wakati yeye amempokea Uenyekiti Mzee Makani?

..zaidi, tukiletewa safu ya Uongozi wa Chadema na tukakuta kuna watu wa makabila mbalimbali tutasema nini?

..wengine wanashauri kwamba Chadema ichague Mwenyekiti kwa kufuata ukabila na kuchagua Mwenyekiti toka makabila other than Mchagga.kwa uelewa wangu,Mzee Makani, mwenyekiti mstaafu wa Chadema, ni Msukuma.

..kwa mtizamo wangu hata sisi wananchi wenyewe tunapaswa ku-restructure na ku-reform fikra zetu. hata kama tunaugua "UKABILA" kuna kipindi mgonjwa anatakiwa kujikaza huku akisubiri dawa zifanye kazi. kwa maneno mengine tujifunze kuvumiliana na kuishi pamoja. Waislamu/Wakristo/Wachaga/Wasukuma/Wanyakyusa etc etc have every rights as each one of us and are here to stay.

..as much as ningependa mabadiliko ndani ya Chadema nadhani kuna umuhimu busara ikatumika kufikia mabadiliko hayo. naamini Chadema bado ni chama kichanga na si rahisi kutibu "majeraha" ya a highly contested elections especially in higher positions.

..kwa mtizamo wangu yeyote yule anayetaka uongozi wa nafasi za juu Chadema aige mfano wa Dr.WILBROAD SLAA. huyu kwa kweli unaweza kusema kwamba hakuwa mwasisi wa Chadema, aliangukia tu huko kwa bahati mbaya/nzuri, lakini aliweza kujipambanua kwa ujasiri wake wa kutetea haki na umahiri wake wa kujenga hoja. sifa hizo ndizo zilizomfanya awe chaguo la Chadema la Uraisi hand down.

..kama Chadema ina wenyewe, au wenye chama, ilikuwaje basi Dr.Slaa akapendekezwa kuwa mgombea Uraisi?

NB:

..hatuwezi kukifanya Chadema kuwa chama cha wote huku tukiwa on the fences tunapiga makelele kwamba fulani na fulani, wa-Tanzania wa eneo fulani watupishe, ndipo na sisi tujiunge.

..pia Chadema haiwezi kusonga mbele by weakening its rear base. Chadema inapaswa kujenga on what they have right now. Wajiimarishe maeneo mengine ya Tanzania bila kudhoofisha base waliyonayo maeneo ya Kaskazini na haswa baadhi ya wilaya za mkoa wa Kilimanjaro.
 
Tatizo kubwa ambalo naliona ndani ya wanachama wengi wa chadema ni kuwa na dhana ya kwamba kuna kundi la mamluki ambalo linaitakia mabaya Chadema, hivyo kila hoja kutoka upande wa pili inapingwa pasipo maelezo.

Mwaka 2008 niliandika hapa Zitto alipokuja nchi Marekani, nilipata muda mrefu sana wa kukaa nae tukiwa one and one. Nilimuelezea kabisa kwamba CHADEMA ni chaguo la kwanza kwa Watanzania walio choshwa na CCM. Nikamweleza kwamba ili Chadema ishinde mioyo ya Watanzaia wengi, basi kazi kubwa inabidi ifanyike. Na hofu kubwa ambayo niliiweka wazi ni kuhusu Mwenyekiti wake, nikamwambia kuna potential leaders wengi ambao wanataka kujiunga na CHADEMA lakini wengi wanaona Mboe ni kikwazo kwao. Hili liko wazi na niukweli usio pingika.

Mboe ana kila haki ya kupokea sifa nyingi kwa kukiimarisha chama mpaka hapo kilipo fika, lakini ni wazi kabisa Mboe hana uwezo wa kiutendaji wa kukipeleka hichi chama kwenye hatua nyingine. Tulikubali au tulikatae hilo, lakini ni uwazi usio pingika. Dr. Slaa ni mtashi ambae anaweza kuarticulate point nyingi, hivyo akiachiwa uwenyekiti hapa anaweza kukipeleke hichi chama kwenye level mpya ambayo ni bora kwa watanzania wote.
 
Kuendelea kuishi kwa matarajio haya mabadiliko, itakuwa ndoto kuleta mabadiliko ya kiutawala katika nchi hii.
It is all about time, na pia mna sahau na kukosea pale mnapoona chadema pekee ndio ina ticket ya kuleta mabadiliko ya kweli au upinzani wa kweli kwa chama tawala.

In any case, hard work is the key to every success.
Mkuu wangu pengine mimi niko hatua moja mbele yako au nyuma yako lakini nitaendelea kusema ukweli hata kama unauma. Sijasema kwamba Chadema ndio pekee wanaweza kuleta mabadiliko ya kweli lakini kupitia Chadema tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli ukizingatia vyama vilivyopo leo hii. Hiki ni chama cha vijana na hakika wametoka mbali sana kukinadi chama hiki na mnakumbuka vizuri walianza wapi na leo wamefika wapi. Hard work pasipo tools, strategy na malengo yakinifu sio sababu kabisa ya kuwa successs.

Umesema, In any case, hard work is the key to every success. That could be Ur perspective kwani Kuli bandarini is is a hard working, mkulima vijijini ni hard working lakini kutokana na system iliyopo malipo yao hayana haki ya wao kuwa successful. Pia huyo huyo mkulima akitumia jembe la mkono ni hard worker kuliko yule anayetumia nyenzo, na mnatokeo yake unayajua hivyo naweza sema a hardly working person can be successful. Again gari lililokwama matopeni huwezi kutumia nguvu sana kulisukuma au kulingoa kwani ndivyo linavyozidi kuzama matopeni ila unapoweza kupunguza tope ukaweka kifusi, mawe na magogo kupunguza utelezi ndivyo unaweza kufanikiwa zaidi ya kutegemea mabavu na Horse power ya gari hilo.

Na ndicho nacholenga hapa nikisema kwamba tatizo la Tanzania sio Chadema wala Upinzani isipokuwa ni chama Tawala -CCM ambao wameendeleza utawala wa kimabavu, chama kimoja na kushika madaraka makubwa kiasi kwamba wao ndio wanapanga mafanikio yoyote. Na maadam wananchi wamewakabidhi funguo tukijua fika kwamba CCM itatupeleka chini bondeni, Chadema can only take a seat and watch!

Kifupi CCM wamekuwa Miungu watu hivyo kama tunataka mabadiliko yoyote nchini kwanza ni lazima CCM ife iwe kifo cha kawaida au Upinzani kutoka kwa wananchi wenyewe lakini sio kutegemea Chadema au vyama wanaweza leta mageuzi ya kiutawala. Hili ndilo swala muhimu ambalo ningependa sana wananchi walitazame.

Maadam, Uchakachuaji haukuanza jana na umekuwa ukitumiwa na chama tawala toka mwaka 1995 pasipo wananchi wote wapenda haki kushiriki kikamilifu kudai haki hiyo ya kidemokrasia basi mchezo huu utakuwepo hadi siku sisi wananchi tutakapo amka na kuomba haki hiyo.

Mkuu wangu kama nilivyowahi kuja hapa JF na kusema wazi kwamba Tanzania haitaweza kuendelea ikiwa Ufisadi (grand Corruption) hautapigwa vita ili kuondoa mirija inayonyonya mfuko wa maendeleo hayo. Na ilichukua muda sana watu kuamini maneno yangu na hakika leo hii nakwambia tena pasipo changes ndani ya CCM kubadilisha mfumo wa Utawala wao, tukaendelea na uchakachuaji chini ya vyombo ambavyo vinamilikiwa na serikali ya CCM. Tusahau kabisa Reform ya Chadema, Muungano wa vyama au madudu mengine yooote kuwa yanaweza leta mageuzi. CCM wataendelea kushinda kwa kuchakachua hadi siku watakapo jimaliza wenyewe... Huu ndio mtazamo wangu.
 
Pasco,

..mbona hayo ya denomination tofauti kati ya Mwenyekiti na Makamu tayari yapo ktk Chadema? ipo pia hata kwa Katibu Mkuu na Naibu wake. mara nyingine ukiendekeza perceptions fulani fulani your thinking gets clouded na unashindwa kuona very obvious facts.

..Mwenyekiti wa kwanza alikuwa Mzee Mtei, akafuatiwa na Mzee Mohamed "Bob" Makani.

..dhana kwamba Mbowe amepewa uenyekiti na baba mkwe wake inatoka wapi wakati yeye amempokea Uenyekiti Mzee Makani?

..zaidi, tukiletewa safu ya Uongozi wa Chadema na tukakuta kuna watu wa makabila mbalimbali tutasema nini?

..wengine wanashauri kwamba Chadema ichague Mwenyekiti kwa kufuata ukabila na kuchagua Mwenyekiti toka makabila other than Mchagga.kwa uelewa wangu,Mzee Makani, mwenyekiti mstaafu wa Chadema, ni Msukuma.

..kwa mtizamo wangu hata sisi wananchi wenyewe tunapaswa ku-restructure na ku-reform fikra zetu. hata kama tunaugua "UKABILA" kuna kipindi mgonjwa anatakiwa kujikaza huku akisubiri dawa zifanye kazi. kwa maneno mengine tujifunze kuvumiliana na kuishi pamoja. Waislamu/Wakristo/Wachaga/Wasukuma/Wanyakyusa etc etc have every rights as each one of us and are here to stay.

..as much as ningependa mabadiliko ndani ya Chadema nadhani kuna umuhimu busara ikatumika kufikia mabadiliko hayo. naamini Chadema bado ni chama kichanga na si rahisi kutibu "majeraha" ya a highly contested elections especially in higher positions.

..kwa mtizamo wangu yeyote yule anayetaka uongozi wa nafasi za juu Chadema aige mfano wa Dr.WILBROAD SLAA. huyu kwa kweli unaweza kusema kwamba hakuwa mwasisi wa Chadema, aliangukia tu huko kwa bahati mbaya/nzuri, lakini aliweza kujipambanua kwa ujasiri wake wa kutetea haki na umahiri wake wa kujenga hoja. sifa hizo ndizo zilizomfanya awe chaguo la Chadema la Uraisi hand down.

..kama Chadema ina wenyewe, au wenye chama, ilikuwaje basi Dr.Slaa akapendekezwa kuwa mgombea Uraisi?

NB:

..hatuwezi kukifanya Chadema kuwa chama cha wote huku tukiwa on the fences tunapiga makelele kwamba fulani na fulani, wa-Tanzania wa eneo fulani watupishe, ndipo na sisi tujiunge.

..pia Chadema haiwezi kusonga mbele by weakening its rear base. Chadema inapaswa kujenga on what they have right now. Wajiimarishe maeneo mengine ya Tanzania bila kudhoofisha base waliyonayo maeneo ya Kaskazini na haswa baadhi ya wilaya za mkoa wa Kilimanjaro.

Jasusi:

Sisi wazalendo tusio na vyama tutaendelea kusema kuwa VYAMA VYA KISIASA SIO MAMA ZETU. Kwa mtaji viongozi wa CHADEMA na wanachama wa chama hicho ni lazima wajue kuwa personality za watu fulani kama vile Dr. Slaa na Zitto ndizo zilizofanya watu kupigia kura CHADEMA.

Mwanachama wa CHADEMA anaweza kusema kuwa Mbowe aliweza kutuliza migogoro ndani ya chama na kuleta mshikamano. Lakini ukweli wa mambo muundo na utulivu wa CHADEMA sio uliofanya watu wapigie kura chama hicho.

Hivyo basi visibility ni kitu muhimu katika siasa zetu. Mtei na Makani hawakuwa na visibility yoyote ya kisiasa wakati wameanzisha CHADEMA. Hawakuwa wabunge au hawakugombea nafasi yoyote ya kisiasa. Na kwa mtaji huu hakuna mtu wa kawaida atakayehangaika kutafuta dini, makabila ya watu hawa au mchango wao kwa taifa.

Vilevile ikumbukwe kuwa wapiga kura ni watu wenye kusahau na kusamehe. Iwe Marekani au Tanzania. Kwa mtaji huu lazima CHADEMA wa-keep momentum na visibility yao. Wakiwa cooky wataelekea kura NCCR walipo.
 
Mtanganyika said:
Tatizo kubwa ambalo naliona ndani ya wanachama wengi wa chadema ni kuwa na dhana ya kwamba kuna kundi la mamluki ambalo linaitakia mabaya Chadema, hivyo kila hoja kutoka upande wa pili inapingwa pasipo maelezo.

Mwaka 2008 niliandika hapa Zitto alipokuja nchi Marekani, nilipata muda mrefu sana wa kukaa nae tukiwa one and one. Nilimuelezea kabisa kwamba CHADEMA ni chaguo la kwanza kwa Watanzania walio choshwa na CCM. Nikamweleza kwamba ili Chadema ishinde mioyo ya Watanzaia wengi, basi kazi kubwa inabidi ifanyike. Na hofu kubwa ambayo niliiweka wazi ni kuhusu Mwenyekiti wake, nikamwambia kuna potential leaders wengi ambao wanataka kujiunga na CHADEMA lakini wengi wanaona Mboe ni kikwazo kwao. Hili liko wazi na niukweli usio pingika.

Mboe ana kila haki ya kupokea sifa nyingi kwa kukiimarisha chama mpaka hapo kilipo fika, lakini ni wazi kabisa Mboe hana uwezo wa kiutendaji wa kukipeleka hichi chama kwenye hatua nyingine. Tulikubali au tulikatae hilo, lakini ni uwazi usio pingika. Dr. Slaa ni mtashi ambae anaweza kuarticulate point nyingi, hivyo akiachiwa uwenyekiti hapa anaweza kukipeleke hichi chama kwenye level mpya ambayo ni bora kwa watanzania wote.

Mtanganyika,

..binafsi nadhani Chadema bado ni chama kichanga.

..ingekuwa vizuri sana kama tungewanusuru viongozi wao na mambo ya kichonganishi-chonganishi.

..binafsi mtu anayeweka shinikizo kwamba ni lazima Mbowe aondoke ndipo ajiunge na Chadema hajachoshwa na uozo unaondelea Tanzania.

..mbona Slaa,Zitto,Mnyika,Lissu, wamejiunga na Chadema na wametambulika chini ya uongozi wa huyu huyu Mbowe anayepigwa vita?

..binafsi nadhani tatizo la Chadema ni kutokuwa na mtu mwingine other than Slaa ambaye ana heshimika na kukubalika kitaifa. tatizo siyo Mbowe, tatizo ni talent pool, exposure, na resources.

..nilichokieleza hapo juu kilijibainisha wakati wa Uchaguzi Mkuu. hakukuwa na mtu mwingine mzito aliyekuwa na uwezo wa kumsaidia Dr.Slaa ktk kampeni za uchaguzi. Chadema made a poor choice ya VP candidate na matokeo yake hakuweza ku-campaign peke yake.

..zaidi, Chadema hawakuwa na umoja wa wanawake, au umoja wa vijana, ambao wangeweza kufanya targeted campaigns kwa makundi hayo mawili muhimu. sasa siamini kama hilo lilikuwa ni tatizo la Mbowe peke yake, huyu naye ana wasaidizi wake, na wengine ndiyo hao wako blinded kwamba Chadema haikui kwasababu ya Mwenyekiti wao.

..binafsi naamini Chadema walihitaji maandalizi makubwa zaidi ya jinsi ya kushiriki uchaguzi wa Raisi. pamoja na hayo nawapongeza for their achievements ukizingatia muda mchache na jinsi walivyokuwa resource constrained.

..nadhani badala ya kuelekeza nguvu za wanachama ktk kumuengua Mwenyekiti Mbowe, ingekuwa vizuri Chadema wakajielekeza ktk kuwajenga wabunge wao waweze kuwa na a national profile na zaidi kuandaa vijana watakaoweza kugombea uongozi ktk majimbo mengi zaidi.

NB:

..nimelipenda sana pendekezo lako kwamba Chadema walipaswa kuwa na kituo chao cha kuhakiki na kutangaza kura sambamba na NEC walivyokuwa wakifanya. ulipendekeza kituo hicho kiwezeshwe kwa katika masuala ya mawasiliano na teknolojia. kwa kweli nakupongeza kwa wazo lako hilo, and I hope Chadema watalifanyia kazi.
 
Mimi nitasema hivi tu..Aloyafanya Mbowe kama mwenyekiti wa Chadema yanatakiwa kupewa pongezi kubwa sana..Hivi mwenyekiti akiwa Dr.Slaa ataweza kubadilisha kitu gani? kama ni Ukabila bado wapo watu watasema Dr anatoka kaskazini, kama Udini bado hatapunguza lolote na pengine kukifanya chama kuchukua sura mbaya zaidi. Dr.Slaa abarikiwe, apewe maisha na uhai ili agombee tena kiti hicho mwaka 2015 kama rais wetu, na Mbowe azidi kukipanga chama ktk ufanisi na kuhakikisha dosari hizi zinazojitokeza zinaondolewa mapema sana.

Yeye kama mwenyekiti, Chadema ina makamu wake ambaye ni muislaam na anatoka Mpanda. haya sii ndivyo mnavyopenda?..Katibu mkuu kuendelea kuwa Dr.Slaa itakipa nguvu zaidi Chadema. Zitto pia kashika wadhifa mzuri sana chini ya Dr.Slaa na ataendelea kujifunza kwani chama kinamhitaji sana, kwa hili msijidanganye ..Na zipo nafasi nyinginezo ambazo Chadema inatakiwa kuzisambaza mikoani hadi visiwani kwani makuzi ya chama hutegemea zaidi kusambaa kwake.

Chadema watafute zaidi ushiriki wa vyama pinzani vya CUF huko visiwani kwa mfano jahazi asilia na kadhalika tusifanye makosa kama ya CUF..Maadam chadema imepata wabunge wengi mikoani hii ndiyo nafsi ya kuimarisha kambi hizo huko mikoani kufikia wilaya na vijiji ambavyo zamani haikuwa rahisi kuwavuta wananchi. Na pengine kupitia ushiriki wa wananchi wengi ktk kambi ya Chadema kutaweza kuleta mageuzi ya kifikra kwa wananchi waishio vijijini ambao mimi binafsi naamini changamoto ya mageuzi itatokana na wananchi wenyewe kuyataka.
 
Mkandara:

Hatuchagui makabila tunapozaliwa. Tunazochagua ni actions zetu. Kama mhindi au mwarabu anaweza kuchaguliwa kuwa mbunge, basi ata Mtanzania wa kabila lolote lile anaweza kuchaguliwa na watu wa makabila mengine kushika nafasi ya uongozi. Kitakachofanya uchaguliwe ni actions zako.

Mrema alishawahi kushinda ubunge jimbo la Temeke kwa kupitia tiketi ya upinzani.
 
Asante Rev. Kishoka, naamini wenye mapenzi mema na Chadema wamekuelewa, mimi nimeposti post kuhusu Chadema hawajajipanga, nakubali udhaifu wangu nilitaja majina na udhaifu wao, hivyo ikaonekana ni matukano.

Safu ya uongozi uliyoipendekeza ni nzuri, ila kwa maoni yangu, safu hiyo mpya ya uongozi pia ipinge baadhi ya dhana zilizojengwa dhidi ya Chadema, hivyo kwa ushauri wangu, Mwenyekiti akiwa denomination fulani, katibu mkuu awe denomination nyingine na nilitaja jina, halafu Rwakatare awe naibu katibu mkuu.

Kuna mafanatic wa Chadema ambao bado ni waumini kuwa Chadema ni chama cha kina fulani, na hao akina fulani, ndio wamewakabidhi chama kina fulani, hivyo hao waliokabidhiwa, chama ni mali yao. Ndio maana Zitto alipogombea Uenyekiti nilimuuliza amepata wapi manlaka ya kutaka kwenda juu bila ruhusa ya wenye chama?, Zitto na kiburi chake na kujiamini kwake kulikopitiliza, akataa ushauri wa kuomba baraka kwa wenye chama na kutangaza straight atawavaa wenyewe. Kilichofuatia sote tunakijua.

Hivyo ili kuondoa dhana ya Chadema ni chama cha kina fulani na ndio wamepewa kifamilia, hao kina fulani wakubali kupisha uongozi wa kitaifa zaidi ili kuifuta hiyo dhana ya kifamilia hata kama wamechaguliwa katika chaguzi halali ndani ya chama.

Angalizo kwa wapenzi wa Chadema na mashabiki wa chama hiki, Chadema sasa imefika level za juu kabisa, sio chama chenu tena, ni chama cha wote, ni chama cha kitaifa, kama kinavyopendwa Kaskazini, tungependwa kipendwe vivyo hivyo na Kusini. Tunawashukuru na kuwaheshimu waasisi wa chama hiki tangu walipokiasisi na kukitoa hapo kilipoanza mpaka hapa kilipofika, hapa ndio mwisho wao, its about time kuunda more capable team kukiondoa kwenye the running lane na kukipaisha kabisa angani na kuenea Tanzania yote.

Ushauri huu unakubalika ninaamini tuko pamoja wengi sana wangependa chama hiki kiimarike zaidi ili kiweze kutoa mchango mkubwa zaidi kwa nchi.
Lakini lugha ya vita iliyotumika imechafua ushauri wote. Mwenyekiti wa chama unasema hana "Mvuto". hapo naona Re. K nakushauri uweze kuomba radhi si sahihi kabisa. Kwani ungeshauri tu kuwa ajiengue ajikite zaidi bungeni isingetosha kueleweka? Mimi nadhani Mwenyekiti Mbowe anastahili heshima. Ameonyesha uvumilivu na uthubutu wa hali ya juu.
Amejitoa muhanga kupambana na jinamizi usidharau mchango wake.
 
Mimi nitasema hivi tu..Aloyafanya Mbowe kama mwenyekiti wa Chadema yanatakiwa kupewa pongezi kubwa sana..Hivi mwenyekiti akiwa Dr.Slaa ataweza kubadilisha kitu gani? kama ni Ukabila bado wapo watu watasema Dr anatoka kaskazini, kama Udini bado hatapunguza lolote na pengine kukifanya chama kuchukua sura mbaya zaidi. Dr.Slaa abarikiwe, apewe maisha na uhai ili agombee tena kiti hicho mwaka 2015 kama rais wetu, na Mbowe azidi kukipanga chama ktk ufanisi na kuhakikisha dosari hizi zinazojitokeza zinaondolewa mapema sana.

Yeye kama mwenyekiti, Chadema ina makamu wake ambaye ni muislaam na anatoka Mpanda. haya sii ndivyo mnavyopenda?..Katibu mkuu kuendelea kuwa Dr.Slaa itakipa nguvu zaidi Chadema. Zitto pia kashika wadhifa mzuri sana chini ya Dr.Slaa na ataendelea kujifunza kwani chama kinamhitaji sana, kwa hili msijidanganye ..Na zipo nafasi nyinginezo ambazo Chadema inatakiwa kuzisambaza mikoani hadi visiwani kwani makuzi ya chama hutegemea zaidi kusambaa kwake.

Chadema watafute zaidi ushiriki wa vyama pinzani vya CUF huko visiwani kwa mfano jahazi asilia na kadhalika tusifanye makosa kama ya CUF..Maadam chadema imepata wabunge wengi mikoani hii ndiyo nafsi ya kuimarisha kambi hizo huko mikoani kufikia wilaya na vijiji ambavyo zamani haikuwa rahisi kuwavuta wananchi. Na pengine kupitia ushiriki wa wananchi wengi ktk kambi ya Chadema kutaweza kuleta mageuzi ya kifikra kwa wananchi waishio vijijini ambao mimi binafsi naamini changamoto ya mageuzi itatokana na wananchi wenyewe kuyataka.

Tatizo kubwa ni mmoja kuwa Mwenyekiti na wakati huo huo mbunge ni kuwanyima haki ya muda wananchi wa Jimbo lako na wanachama wa CHADEMA. Mboe aendelee kuwa mwekiti wa kambi ya upinzani bungeni, na mpiganiji wetu. ukatibu na uwenyekiti wapewe watu ambao sio wabunge lakini wana national identity.

Chapili Chadema lazima watibu vidonda walivyo viweka ccm, kwama chadema ni chama cha udini, ukabila na N.K. Lakini napinga kuchagua zuzu eti kisa muislam au kisa mkwere.
 
Naona sasa unasogeza goal post. Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa miaka mitano akiwa nje ya bunge. Kazi aliyoifanya sote tunaiona. Sasa unadai kuwa kuwa mwenyekiti na mbunge ni kuwanyima haki ya muda wananchi wa jimbo laki na wana CHADEMA. Bunge vikao vyake ni seasonal. Mbowe atakuwa/anao muda wa kutosha kuwasiliana na wananchi wa jimbo lake na wana CHADEMA pindi bunge litakapokuwa out of session. Hapo hakuna conflict na hakuna haki waliyonyimwa wananchi na wana CHADEMA. Suala la ukabila wa CHADEMA limejibiwa vizuri tu na uchaguzi wa mwaka huu. Kuanzia sasa sisi wote ni Wachagga. Kuanzia Moshi hadi Musoma, Arusha hadi Iringa, Nyamagana hadi Mbeya. Suala la Uchaga Watanzania wamelijibu kwa sauti kubwa. Tafuta kisingizio kingine cha kumkosoa Freeman.
 
Jasusi,

..binafsi ningependa Chadema wawe na viongozi wengi zaidi wa juu wanaoshughulika na siasa FULL TIME.

..wakati wengine wanakwazwa na Uchaga wa Mbowe, mimi nakwazwa na the fact kwamba huenda atakuwa na majukumu mengi mengine kama biashara zake na ubunge.

..kitu kingine ningependa Chadema wawe na kitengo cha RESEARCH kuwasaidia wabunge wao ktk kujenga hoja bungeni. hoja wanazojenga zisitegemee uchacharikaji wa mbunge husika bila kuongezewa uzito with research uliyofanywa na staffers.

..suala lingine ni VISIBILITY kama alivyolielekeza Zakumi. kama serikali inapitisha bajeti inayopunja fedha ktk miradi ya maendeleo ya mkoa kama Rukwa, basi Chadema wanapaswa kwenda kuzungumza na wananchi wa mkoa huo kuwaelezea kilichojiri bungeni.

..kuna wakati CCM ilituma mawaziri kwenda "kuwaeleza" wananchi kuhusu bajeti. ingependeza na Chadema nao wawe na utaratibu wa kwenda kuwaeleza wananchi mapungufu ya bajeti kila baada ya kipindi cha bunge.

..Chadema pia wawe efficient zaidi ktk kutoa habari zao. wakati wa uchaguzi CCM wali-dominate mno magazeti, radio stations, blogs, and tv. kunatakiwa kuwepo na mkakati wa ku-challenge CCM dominance ktk vyombo vya habari.
 
Tatizo kubwa ni mmoja kuwa Mwenyekiti na wakati huo huo mbunge ni kuwanyima haki ya muda wananchi wa Jimbo lako na wanachama wa CHADEMA. Mboe aendelee kuwa mwekiti wa kambi ya upinzani bungeni, na mpiganiji wetu. ukatibu na uwenyekiti wapewe watu ambao sio wabunge lakini wana national identity.

Chapili Chadema lazima watibu vidonda walivyo viweka ccm, kwama chadema ni chama cha udini, ukabila na N.K. Lakini napinga kuchagua zuzu eti kisa muislam au kisa mkwere.
Wazo zuri sana! sasa umeongea kitu kwani mimi hupenda zaidi kusikia sababu kubwa ya kufanya mabadiliko mnayotahitaji. Lakini pia tukumbuke tu kwamba bungeni hawa watu hukaa sio zaidi ya siku 100 na pale ndipo wananchi wengi hutazama mwelekeo wa chama. Haya tazama JK ni mwenyekiti wa CCM na muda mwingi yuko nje ya nchi sijui labda niseme siku 236 kwa mwaka huwa nje ya nchi na hakika binafsi sikumbuki kabisa toka mwalimu Nyerere kuna mwenyekiti wa CCM ambaye aliongeza au kuongoza ufanisi wa chama hiki ktk ushindi au matokeo ya maagizo yake kwa wananchi, isipokuwa makatibu wakuu ndio wamekuwa chachu ya chama hiki.. Hizi ndio siasa za Bongo hivyo Dr.Slaa ktk nafasi alonayo akipambana na kina Makamba au kinana nadhani hapo kuna raha zaidi. Wananchi hawajali sana mwenyekiti isipokuwa wanachama wenyewe ndio wanajua yupi anaweza kuwashawishi kichama na ktk nafasi gani.

Binafsi niseme ukweli sikupenda Mbowe achukue kiti cha uongozi wa Upinzani bungeni zaidi ya yeye kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama kwani kaifanya kazi nzuri sana ndani ya chama. Bungeni kinachotakiwa ni safu wa wabishi kama kina Mkandara hapa maadam unalishwa data za kutosha kuweka pingamizi. Watu wasioogopa na wenye kiburi cha kuulizwa maswali magumu pamoja na kuwakilisha zaidi matakwa ya wananchi. Tukumbuke tu nguvu ya Chadema mwaka huu imetoka bungeni na Dr.Slaa kama msemaji mkubwa ndiye amekuwa kiungo kikubwa zaidi kwa wananchi kupata chachu ya Ufisadi na kadhalika. Sina uhakika kama Mbowe anaweza kuendeleza pale alipoachia Dr.Slaa, lakini nina hakika kwamba kumweka Dr.Slaa kama mwenyekiti kunaweza kuleta matatizo mengine ambayo hayana sababu kabisa kuyaendeleza. Na ukumbuke tu wananchi wanachotazama sio mabadiliko hayo kulingana na picha yako, wao wanayaona matatizo ya Chadema ktk sura mbili za Ukabila na Udini na ndicho pekee Chadema wanatakiwa kuondosha dhana hiyo (watu na Mazingira).

Zakumi,
Mkuu wangu nimepiga makelele sana hapa JF kuhusiana na ubaguzi wa aina yeyote ile lakini ndio kwanza nilikuwa nachochea vitu hivyo. Maadam sisi hatukuzaliwa kwa kupenda kuwa kabila gani basi nasi tusiwapitishe viongozi wetu kwa kufuata vigezo hivyo kwani wajinga wengi hataweza kuona tofauti. Mimi naweza kabisa kukubali Mbowe alikuwa na kila sifa ya kuwa mwenyekiti lakini ni wangapi wanaokubaliana nami?..Hivyo kuna wakati ili kuepuka lawama kama hizi unatakiwa kuchukua maamuzi mazito ambayo hukutaka kuyafanya..
Amini maneno yangu kwamba Chadema ilipofikia leo haihitaji kuendlelea kufikiri kisomi zaidi ktk nchi ya wajinga.. kuna wakati mwingine inabidi nawe uwe mjinga ili upate ku mingle na society unayoiongoza, ukitumia elimu na exposure yako sana mahala hapastahili utaitwa mwizi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom